Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp sasa?Ndie muasisi yule mwehu!
Mtumie Tundu Lisu hii Comet yako.JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Mbona haya mambo yanaendelea wakati jamaa amekufa mwaka wa tatu sasaMtumie Tundu Lisu hii Comet yako.
Mbona miradi aliyokaiazisha inamaliziwa wakati yeye hayupo huu mwaka wa3?!!Mbona haya mambo yanaendelea wakati jamaa amekufa mwaka wa tatu sasa
Sasa miradi ndio ya kuifananisha na mambo ya utekaji na mauaji?Mbona miradi aliyokaiazisha inamaliziwa wakati yeye hayupo huu mwaka wa3?!!
Yeye ndie muhasisi wa haya mambo, kabla yake haya mambo hayakuwepo, kwahiyo hakuna namna ya kumnasua ktka hili.Sasa miradi ndio ya kuifananisha na mambo ya utekaji na mauaji?
NDYO MWASISI MWENYEWEJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
kuna kitu kinaitwa legacy au urithi.Mbona haya mambo yanaendelea wakati jamaa amekufa mwaka wa tatu sasa
iKuanzia sasa hakuna kuchukuliwa kizembe kwenda kuhojiwa pambana ni heri ufie nyumbani kwako!