Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Nilishuhudia jamaa mmoja anakamatwa mbele yangu na hao watu...aisee wanatumia nguvu sana kana kwamba huwezi kujitetea ...yaani wanakubebea juujuu nakukutia ndani ya gari !!

i
Fanyeni mazoezi vijana msiwe lege lege,dunia ya sasa imebadilika
 
Back
Top Bottom