Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi. Tutawaumiza.
 

Mkuu hakuna jeshi linaloweza kuishinda nguvu ya UMMA , halijawahi kutokea mahali popote pale duniani. Raia wakisema sasa basi si risasi mabomu na maji ya pilipili yatakayozuia dhumuni lao la kupambana na uonevu.
Wakishafungua kila kitu kitawekwa wazi na huo inawezekana ikawa ndio mwanzo wa CIVIL WAR .... Hata kwa Gadaffi yalianzia kama hivyo lakini mwisho hata Jeshi lilishindwa
 
Back
Top Bottom