Wewe unajua Umuhimu wa kuwa na mfumo thabiti wa kusimamia Maendeleo ya mji!?
I can guarantee you hujui! Na ikitokea serikali imeamua kutumia mabilioni kujenga mifumo hii utakuwa wa kwanza kupinga maana haina direct effect na Uchumi wako!
My point is... You need trained minds to make decisions...the level at which decisions are made ...sio level ya uelewa ya kila mtanzania ..yet unataka tusikilizane tutaelewana!?
Sasa ikiwa unataka kinachoombwa na wananchi pekee ndicho kifanyike kuna haja gani ya kuwa na viongozi!!?
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app