Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Hii kauli siku zote mimi huwa siielewi hata kidogo..
In very rare circumstances wananchi ndiyo huwa chanzo cha vurugu..
Lakini tuwe wakweli ktk nafsi zetu kuwa, kwa Tanzania polisi ndiyo huanza kuwavuruga na kuwachokoza wananchi kwa amri batili za wanasiasa walio ktk utawala ili wapate nafasi ya kutimiza malengo yao fulani fulani ya kisiasa kwa gharama ya polisi na wananchi..
Wananchi wanalijua na kulielewa vizuri sana hili. Ktk mazingira haya, wananchi ni lazima na wana haki kabisa yw kutetea haki zao kwa njia zozote zile wanazoweza..
Kinachoendelea Zanzibar kwa mfano, kule Hai - Kilimanjaro kwa DC Ole Lengai Sabaya, kilichotokea juzi katika maeneo ya Somanga, Nyamongo, Ikwiriri na maeneo mengine it's pure bad example ya uchokozi wa polisi dhidi ya wananchi..!!
Katika mazingira haya, ikitokea wananchi wanaondoa woga na kupambana na polisi, it's better ili mradi ifike mahali watawala watii na kuheshimu mamlaka ya wananchi na vivyo hivyo polisi waheshimu viapo vyao na sheria zinazowaongoza kutekeleza wajibu wao..
I know kunaweza kuwa na injuries and deaths and to a great extent destruction of property, Lakini kwa vifo hivyo, lazima tu watu wenye mamlaka ya kutumia vyombo hivi vya ulinzi na usalama vibaya, waliotoa amri batili kisheria ili kuua watu, WATAWAJIBIKA kwa MATENDO YAO..