Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Mnafurahia raia kurushia polisi mawe. Wakati huohuo mnachukia polisi kupiga raia virungu.
Hii ndio haki inayopiganiwa!
Mkuu mimi binafsi sijafurahi hiko kitendo na wala sijafurahi kitendo cha Majeshi kujazwa zanzibar ili kuwaogofya wananchi,Nimefurahi kwamba Jeshi la Polisi limeonesha weledi wa hali ya JUU katika ile hali na kuondoka.Hii clip itakuja kuwatetea askari wetu siku watu wakipelekwa THE HAGUE au mbele ya MUUMBA
 
Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
hivi wewe mbona unakua fala sana?unapenda machafuko huku we uko chini ya meza lofa wewe
 
Hakuna sehemu kwenye katiba polisi alipiruhusiwa kumdhuru mwananchi kwa silaha ya moto ikiwa mwananchi huyo hana silaha ya moto.

Kama wakaiwapiga risasi na wanachi hawana risasi wana la kujibu ,kama ni mawe kuna njia nyingi tu za kuwatawanyisha .

Katiba??

Japo kuwa katiba ni Mother Law ya Tanzania.. Lakini siyo kila power ya mtu inatolewa katika katiba.

Polisi wanatakiwa kutumia reasonable force kupambana na wavunjaji wa sheria.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 27 na 28 Zanzibar. Askari wa Usalama washambuliwa kwa mawe
View attachment 1612185
Binafsi sipendi vitendo vya uvunjifu amani, lakini nimechoshwa na upuuzi wa kigurupu cha watu wachache Zanzibar kujipa hati miliki ya kuongoza bila ya ridhaa ya wananchi.

Nadhani its about time, sasa woga ukaekwa pembeni na haki ikatafutwa kwa njia yoyote mbadala hata ikiwa ni mawe kwa silaha ya moto. Kwani Tanganyika mlisahau kama mlipigana vita ya maji-maji ? Ni symbolic sio kama fair ground mwenzako akiwa na cha moto wewe ukawa na jiwe, but zanzibaris have no other means.
 
..sijui kwa nini aoma JW ina zidi kushuka hadhi kwenye awamu ii kabsa kazi ya police wana ingilia wao
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki...
Lengo ni ccm watangazwe washindi bila ridhaa ya wazanzibari.
 
Hakukua na haja ya kuzuia wananchi wanaotoka kwenye mkutano na kuwatishia kwa kupiga risasi juu ili iweje??
 
Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Hii kauli siku zote mimi huwa siielewi hata kidogo..

In very rare circumstances wananchi ndiyo huwa chanzo cha vurugu..

Lakini tuwe wakweli ktk nafsi zetu kuwa, kwa Tanzania polisi ndiyo huanza kuwavuruga na kuwachokoza wananchi kwa amri batili za wanasiasa walio ktk utawala ili wapate nafasi ya kutimiza malengo yao fulani fulani ya kisiasa kwa gharama ya polisi na wananchi..

Wananchi wanalijua na kulielewa vizuri sana hili. Ktk mazingira haya, wananchi ni lazima na wana haki kabisa yw kutetea haki zao kwa njia zozote zile wanazoweza..

Kinachoendelea Zanzibar kwa mfano, kule Hai - Kilimanjaro kwa DC Ole Lengai Sabaya, kilichotokea juzi katika maeneo ya Somanga, Nyamongo, Ikwiriri na maeneo mengine it's pure bad example ya uchokozi wa polisi dhidi ya wananchi..!!

Katika mazingira haya, ikitokea wananchi wanaondoa woga na kupambana na polisi, it's better ili mradi ifike mahali watawala watii na kuheshimu mamlaka ya wananchi na vivyo hivyo polisi waheshimu viapo vyao na sheria zinazowaongoza kutekeleza wajibu wao..

I know kunaweza kuwa na injuries and deaths and to a great extent destruction of property, Lakini kwa vifo hivyo, lazima tu watu wenye mamlaka ya kutumia vyombo hivi vya ulinzi na usalama vibaya, waliotoa amri batili kisheria ili kuua watu, WATAWAJIBIKA kwa MATENDO YAO..
 
HIVI kweli Polisi wa Tz atapigwa aondoke tu?? NADHANI hapa kuna kitu
 
Sawa..waache waendelee kutumia silaha zao duni za stone age.

Leo na kesho, Askari wa usalama wakianza kutumia chuma, serikali inaanza kuonekana ina matatizo na wananchi wake.

Wananchi Msijaribu kucheza na vyombo vya usalama na askari wake pasipo na sababu ya msingi.Tutawaumiza.
Wewe ni walking dead
 
kama the Hague imemuacha mkapa mpaka amefariki kifo cha kawaida kabisa,haikuwahi kusema neno.unadhani mwaka huu mtakuwa mmewapa kitu gani,ili mtakapofanya uhuni mgongwe ianze kushughulika na nyinyi!!!!

nenda kachunguze ya nigeria yanavyoendelea,ndio utajua duniani hapa hakuna haki,bali una nini ili upate nini,that simple.
Fuatilia uchaguzi wa malawi uliopita ndiyo utakapojua haujui.
 
Polisi ongezeni askari wasio na uniform mitaani hapo mbona ilikuwa rahisi tu kuwadaka hao watupa mawe sio lazima wadakwe wote mnakamata wachache tu katika wengi wanaotupa mawe halafu mnawabana korodani na koleo hadi wakumbuke bibi zao waliofariki

Tatizo hapo in kutokuwa na askari wasio na uniform mitaani.Chukueni makomandoo wavalisheni nguo za mitaani waingie mitaani

Zanzibar mitaa mingi imebanana nyumba kuwadaka hao wahuni kazi ndogo mno sababu vichochoro vichache na vidogo rahisi kuwazingira pande zote na kuwabana kati

Sehemu korofi shusheni makomandoo wavalisheni hata hijabu na kanzu
 
IMG_5727.png

Hivi jamani tuna sare nyeusi za jeshi ???
 
Back
Top Bottom