Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

Kuna hatari mitandao kuzimwa ili kuficha mauaji makubwa na kutisha kuanzia wakati wowote.
Nani kakuambia kuna mauaji.Kwenda zako na mawazo yako ya kishetani, hafi mtu ila ushindi kwa ccm ni dhahiri, mmeishiwa hoja mnategemea mauaji, eti ili kuwepo na serikali ya kitaifa nanyi muwemo .NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, ZANZIBAR NI MWINYI NA BARA NI MAGUFULI.MJIPANGE 2025
 
Wewe unajua Umuhimu wa kuwa na mfumo thabiti wa kusimamia Maendeleo ya mji!?

I can guarantee you hujui! Na ikitokea serikali imeamua kutumia mabilioni kujenga mifumo hii utakuwa wa kwanza kupinga maana haina direct effect na Uchumi wako!

My point is... You need trained minds to make decisions...the level at which decisions are made ...sio level ya uelewa ya kila mtanzania ..yet unataka tusikilizane tutaelewana!?

Sasa ikiwa unataka kinachoombwa na wananchi pekee ndicho kifanyike kuna haja gani ya kuwa na viongozi!!?



Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mawe ni silaha ya mnyonge hata Mfalme Daudi aliitumia baada ya kuonewa na manyanyaso ya Goliathi

Mawe yamebarikiwa na yameziondoa Tawala nyingi za kidhalimu Mawe hayahitaji ujuzi wala unifomu

HAKI! HAKI! HAKI!
 
hAKUNA MKATE MGUMU KWA CHAI.FUATA SHERIA ACHA KUHAMASISHA MAAFA UTAFIA JELA KIJANA. HIZI TAHARUKI ZENU ZIMEFELI, KAMA MMEFELI KUWASAHWISHI WANANCHI IMEKULA KWENU. MAGUFULI ANAKWENDA KUWAFUNDISHA DEMOKRASIA NA KULE MWINYI ANAWAPA MASWALI MAGUMU YA KIDEMOKRASIA SAFARI HII MPAKA MUOMBE POO
 

Hawawezi kuvifuta vyama vingi sababu ni sehemu ya kuombea misaada ya pesa uchaguzi nje pili ni sehemu ya kutakasishia pesa na Kodi zetu kipindi cha uchaguzi ndipo pesa zetu zinapopigwa kwa wingi waulize ccm bajeti ya kufanyia kampeni ni ngapi kama utapata jibu, wanachuma mamilioni ya shilling kwao vyama vingi ni biashara kamili
 
Mawe ni silaha ya mnyonge hata Mfalme Daudi aliitumia baada ya kuonewa na manyanyaso ya Goliathi

Mawe yamebarikiwa na yameziondoa Tawala nyingi za kidhalimu Mawe hayahitaji ujuzi wala unifomu

HAKI! HAKI! HAKI!

Tuwakumbushe tu watende haki maana waliambiwa tatueni kero za muungano zitaleta mpasuko awakusikia Leo ni kusikia kwa kenge wanataka kuzima Moto kwa petrol.
 
Sasa hao waliovaa kiraia watakuwa salama?, Watachomwa moto na raia wenye hasira kali mchana kweupe

Halafu wewe una mawazo ya kiuwendawazimu, yaani upeleke Komandoo akapambane na raia huo utakuwa upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Ni uharibifu wa resources.

Kitu kingine lazima ujue, si rahsi kuthibiti umma ambao umeshakinai, na uko tayari kwa lolote
 
Inaonekna wewe ni Magufuli mwenywe ama Dotto James. Kuja kufika 29 Okt mtakuwa mmevaa komati wenyewe.
Hapana! Doto James ni mstaarabu sana, yeye Hana muda wa maneno maneno ya kipuuzi, anahangaika na mihela tu. Huyu anaeza kuwa ni yule M-UVCCM mwenye msimamo wa Ukichaa sijui wanamwita Kheri?
 
hapa kuna la kujitafakari kwa askari wetu...unalinda usalama wa watu, alafu wanakupiga mawe? hii ni athari za kuvuka mipaka
 
Eti sketi za polisiccm [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askari wanaolinda wananchi na mali zao katu hawawezi kupigwa mawe, mbona siku zote askari wa Zanzibar wapo na wanalinda usalama wa wananchi wao hakuna taarifa za kupigwa mawe! kwa nini wakati huu wa uchaguzi ndiyo wapigwe mawe? Kwa kuwa mmewagawa wazanzibari na hao polisi wapo kwa maslahi ya baadhi ya wazanzibari hivyo hao wasiyokuwa na maslahi nao ndiyo wanaowarushia mawe polisi. Hivyo kwa vyombo vya usalama lazima walinde usalama wa wazanzibari wote bila kujali vyama na mali zao.
 
MPAKA SASA NAMJUA MGOMVI NI NANI MKIANZA KUMWAGANA DAMU NAMPIGIA TRUMP SIMU ILI ASHUSHE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KAMA ZIMBWABE
very seriously
 
kama 2000 ulikuwa ni katoto/kavulana kadogo unaweza ona hawa jamaa wanafanya jambo la ajabu kweli kweli.

ila kimsingi hawa nao kuna kitu wanatamani kujifunza.ili waache mihemko kwa miaka 20 ijayo.
Hukuona baba yako Mkapa amekufa huku analialia kwa dhambi aliyoitenda huko Zanzibar? , sasa safari hii wahusika lazima wafikishwe the Hague, hakuna atakayeachwa salama wakiua mwananchi hata mmoja wa Zanzibar
 

Vipaumbele vyote ni lzm viguse maslai ya wananchi na sio vipaumbele vya watawala thus ndo jukumu la kulipa Kodi ili uletewe maendeleo, huwezi ridhisha wote lkn upimwa angalau 75% .Mtz gani aliyekaa chini akalalamika maisha yake ni magumu sababu hakuna ikulu mpya,Chato international,makao makuu Dom, ndege.Vipaumbele vya watawala sio vipaumbele vya wananchi.
 
Hukuona baba yako Mkapa amekufa huku analialia kwa dhambi aliyoitenda huko Zanzibar? , sasa safari hii wahusika lazima wafikishwe the Hague, hakuna atakayeachwa salama wakiua mwananchi hata mmoja wa Zanzibar

kama the Hague imemuacha mkapa mpaka amefariki kifo cha kawaida kabisa,haikuwahi kusema neno.unadhani mwaka huu mtakuwa mmewapa kitu gani,ili mtakapofanya uhuni mgongwe ianze kushughulika na nyinyi!!!!

nenda kachunguze ya nigeria yanavyoendelea,ndio utajua duniani hapa hakuna haki,bali una nini ili upate nini,that simple.
 
MPAKA SASA NAMJUA MGOMVI NI NANI MKIANZA KUMWAGANA DAMU NAMPIGIA TRUMP SIMU ILI ASHUSHE VIKWAZO VYA KIUCHUMI KAMA ZIMBWABE
very seriously
Waathirika wa vikwazo ni sisi wananchi na sio watawala,waadhibiwe watawala ikiwezekana physical na sio sisi wanan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…