Uchaguzi 2020 Zanzibar: Askari wanaolinda usalama wa watu na mali zao, washambuliwa kwa Mawe!

mitaa huhitaji kuijua siku hizi teknolojia ipo google map tu inakuonyesha kila kitu
Polisi wenyewe ambao hata shule ambao hata Kiingeleza hawajui wameishia darasa la saba na form four (F7) .hiyo Map reading wataiwezea wapi?
 
Makomandoo wako wangapi?wakamate watu wote.
 
Hujaona udhalimu wa Awamu ya tano??? Mdude Nyangali, Nusrat Hanje, Tito Magoti, Eric Kabendera, Viongozi wa upinzani kubambikiwa makesi unaweza kusema ni nini hicho????

Kuuawa kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Rwabaje, Alphonce Mawazo na wengine wote ni nini hicho kama sio udhalimu wa Magufuli na ccm??

kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kuvamiwa clouds tv, kufukuzwa kazi na maelfu ya watanzania kwa vyeti feki huku Bashite akiachwa na kutetewa pamoja na kuwa na Cheti feki, watumishi na raia kukamatwa na kuwekwa ndani na Wakuu wa Mikoa na Wilaya hicho ni nini Kama sio udhalimu wa awamu ya tano???

Kukataza wakulima wa kahawa na mahindi kuuza mazao yao nje huku nyie mkinunua kwa bei ya chini na kuwaongezea umaskini na kuwanyang’anya watu korosho zao na kukataa kuwalipa huku mkiharibu soko la zao Lao huo sio udhalimu??!
 
Maalim amelala ndani kwake,watoto wa watu wanawarushia mawe askari wenye silaha.. Hotba zake kampeni ni shari shari,,The Hague itamhusu
Kwani Magufuli ameshika silaha hadi useme Maalimu amelala?
 
Hakuna vita yeyote itatokea, ila wahuni wachache kama hao waliojaribu kurusha mawe watabinywa korodani hadi wakome.
 
Kinachosikitisha kwa wananchi wasojitambua,wanaamini wanapigana na viongozi direct,wanasahu wanapambana na wanachi wenzao.
Tz hapa nafikiri somo la Umuhimu wa Amani hatulijui vizuri,nafikiri watu wanatamani kulisoma hili somo kwa vitendo Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…