Zanzibar: Bawa la ndege laokotwa Kisiwani Pemba

Zanzibar: Bawa la ndege laokotwa Kisiwani Pemba

Kipande cha ndege kimepatikana ufuoni Tanzania, inashukiwa kitakua cha ndege iliyotoweka ya Malaysia Airlines Flight MH370.
Uchunguzi zaidi unafanywa kubaini.

A piece of aircraft debris found off the coast of Tanzania will be examined to see whether it could be from missing Malaysia Airlines Flight MH370, Australian officials said Friday.

Australia's Transport Minister Darren Chester gave no description of the fragment found on Pemba Island, the latest in a string of pieces being examined for links to the aircraft lost more than two years ago with 239 people on board.

"The Australian Transport Safety Bureau is seeking further information on the debris to ascertain whether it was from the Malaysia Airlines Boeing 777, MH370," Chester said in a statement.

The bureau said Malaysian officials were in contact with Tanzanian authorities to arrange for the piece to be examined.

The final location of MH370, which was on a routine flight from Kuala Lumpur to Beijing when it vanished in March 2014, has never been found despite an extensive search.

But pieces of debris thought almost certainly to have come from the plane have washed up on the Indian Ocean islands of Reunion and Mauritius as well as in South Africa and Mozambique.

In May, Chester said three more pieces were to be tested — two from Mauritius and another from Mozambique, but gave no further details.

Australia is coordinating the underwater search for the plane in the southern Indian Ocean far off its western coast and so far some 105,000 square kilometres (40,540 square miles) have been searched.

Australia, Malaysia and China — which had significant numbers of citizens on the plane — have said the hunt will be abandoned once the agreed search area is thoroughly combed.

Officials from the three countries met earlier this week to discuss the search and Chester said discussions were productive but gave no further details ahead of a ministerial meeting planned for late July.
TZ debris to be checked for MH370 link
 
hivi kweli kwa miaka yote miwili yangu hii ndege ya Malaysia ipotee haijapatikana richa ya technolojia ilioyopo kwa haya mataifa yaliyo endelea, pia najiuliza hivi ni kwa nn mataifa makubwa km marekani yanajiweka mbali sana kwenye utafutaji wa hii ndege na kujua chanzo cha kupotea kwake. yaani hivi sasa imebaki hisia tu kila kipande cha ndege kikionekana bahari ya Hindi watu wanaanza kuhisi labda ni ile ndege ya Malaysia
 
Australia imetangaza kuanza uchunguzi wa mabaki ya ndege yaliyogunduliwa kwenye kisiwa kidogo cha Kojani, visiwani Zanzibar, kutambuwa endapo ni ya ndege ya Malaysia, nambari MH370, ambayo ilipotea Machi mwaka 2014, ikiwa na watu 239. Waziri wa Usafirishaji wa Australia, Darren Chester, hakutoa maelezo zaidi kuhusu mabaki hayo, lakini mwanzoni mwa mwezi huu, wavuvi kwenye kisiwa cha Kojani waligundua kile wanachoeleza kuwa ni bawa la ndege, ambalo bado linaendelea kushikiliwa huko.

Waziri Chester amesema tayari mamlaka nchini Malaysia zimefanya mawasiliano na wenzao wa Tanzania kupanga namna ya kuyachunguza mabaki hayo. Mwezi Mei, vipande vyengine vinavyokisiwa kuwa mabaki ya ndege hiyo, viliokotwa kwenye visiwa vya Reuniun na Mauritius. Australia inaendesha operesheni kubwa kuisaka ndege hiyo kwenye eneo la kusini mwa Bahari ya Hindi lenye ukubwa wa kilomita za mraba 105,000.
 
Nimeangalia hizi picha zikanifanya nicheke kwa sauti
Habari inasema wanaendelea kufanyia uchunguzi,
Nikadhani hao wajamaa waliovaa vikoti ndo wanadanya uchunguzi.

Kumbe wataalamu zaidi ni hao waliovaa yebo yebo ndo wanaotarajiwa kutoa majibu
Kwani yebo yebo ndio inayopima !? ......umebinafsisha akili zako !??
 
hivi kweli kwa miaka yote miwili yangu hii ndege ya Malaysia ipotee haijapatikana richa ya technolojia ilioyopo kwa haya mataifa yaliyo endelea, pia najiuliza hivi ni kwa nn mataifa makubwa km marekani yanajiweka mbali sana kwenye utafutaji wa hii ndege na kujua chanzo cha kupotea kwake. yaani hivi sasa imebaki hisia tu kila kipande cha ndege kikionekana bahari ya Hindi watu wanaanza kuhisi labda ni ile ndege ya Malaysia
Ile ndege ilikua ni ya aina gani? mara nyingi marekani inafuatilia kama ikiwa ni aina ya Boeing
 
Oka
Ndio watapima kwa futi na kupata vipimo vyake hii itakuwa ni muhimu kujua ni ndege ya ukubwa gani labda vipimo hivyo ni vya bawa la ndege aina gani kwani mabawa ya aina mbalimbali hutofauiana na ndiyo utaalamu wenyewe.
Okay..basi sawa!!
 
Back
Top Bottom