Zanzibar: Bawa la ndege laokotwa Kisiwani Pemba

kwahyo wote tulio JF unadhani tuko Bongo land au? pia mtu anaweza akaitumikia Marekani akiwa Tanzania. Acha umbu.mbu.mbu
Katika comment yangu sijasema wote tulio JF tupo Bongo land usinilishe maneno.

Lugha za matusi/kuudhi si nzuri tafadhali
 
Baseless meaning?

Timu ya wachunguzi ndio imeona kwamba Pilot alishusha ndege chini ili ku kwepa rada za kijeshi na ku de-pressure ndege na kupelekea abiria kufa kabla hajaipotezea baharini.

Kitaalamu iko sawa, ila swali linalobaki ni kuwa co-pilot alikuwa wapi?

kama vipande vinaokotwa maana yake ililipuka, je; Pilot ndiye alilipua?
 
Back
Top Bottom