Baseless meaning?
Timu ya wachunguzi ndio imeona kwamba Pilot alishusha ndege chini ili ku kwepa rada za kijeshi na ku de-pressure ndege na kupelekea abiria kufa kabla hajaipotezea baharini.
Kitaalamu iko sawa, ila swali linalobaki ni kuwa co-pilot alikuwa wapi?