Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Acha ujinga wewe hakuna visa ya kwenda Zanzibar.Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Zanzibar kuna Mzee alisema iliunganishwa na Tanganyika sababu ni Ulinzi, Zanzibar inalindwa na Tanganyika usiniulize kwanini Mzee alisema hivyo Mzee huyo alikuepo kwenye harakati zote za Mapinduzi kapasua yai katema Bungo kwa hio usalama wa Zanzibar upo chini ya Tanganyika maana baada ya mapinduzi kuna wanufaika waliopinduliwa walikua wanataka kurudisha mashambulizi wamwondoe Karume wachukue tena Zanzibar Karume akalileta kwa Nyerere ndio Nyerere akaenda kuilinda Zanzibar rasmi kwa kuunganisha mchanga kwenye Chungu kimoja kutoa onyo atakae igusa Zanzibar ameigusa Tanganyika kuanzia hapo Zanzibar ikawa IPO SalamaZanzibar huru
Hadi Girlfriend Zao😜Na Tanganyika wanaona Zanzibar mnauza mbuga zao, misitu yao, bandari zao, ardhi zao na kila aina ya udhalimu mmewafanyia
1. utalii upo ila ni kwasababu ya Tanganyika, peke yenu ninyi mngekua afghanistan sasaivi na hakuna mzungu angekuja sehemu yenye misimamo mikali namna hiyo.Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
ukaazi una faida gani wakati kutwa upo bara kutafuta maisha? kwenu huko yamejaa mashoga kila sehemu.Tunajivunia uzanzibari ukaazi
Ahahahahaha! Kwamba wanadeka kama IST na Vitz zinavyodeka barabarani! Ahahahahaha!!Watanganyika wenyewe tumewachoka wazanzibar maana hamkui kila siku ni kudeka tuu kama watoto wadogo.
Kaka umenena vyema! huwa nawaambia Watanganyika wenzangu hapa, Zanzibar ni dhaifu mno kiuchumi, tuendelee tu kuisaidia ili angalau wasogee, tukiwaacha wataingia WAARABU waje kutuletea shida huku kama alivyosema Mhe. LUKUVI . Ingawa tunaumia, lakini ni kama kulea mtoto, akikua atajisimamia!Hata kulipa umeme tu Zanzibar haiwezi. Acheni kujidanganya, urithi wa kwanza kwa taifa lolote ni ardhi, kisha watu.
Zanzibar haina ardhi ya kutosha wala rasilimali watu. Elimu huko visiwani ni duni mno.
Hawa watu ni waajabu kweli kweli wako kama wanawake wanaolilia haki sawa wakati kila kitu kipo mikononi mwao.Kwa akii yenu mnaona tanganyika inawanyonya
Ukweli ndiyo huo.Kinachochekesha ni kuwa hatuutaki muungano huku idadi ya wakazi wenye asili ya visiwani ambao kwa sasa wanaishi bara, ni zaidi ya wale ambao wapo kule, hivi hujiulizi kwanini??
Huku ndio kwenye fursa ndio maana mamilioni wapo huku, na sisi wabara hatuna ubaguzi ndio maana dada zenu tunawahudumia na nyie pia ruksa kuyajenga
Huu muungano udumu daima ila huu ufala wa kazi za bara chawote halafu Zenji peke yenu na Ardhi bara chawote afu Zenji peke enu unapaswa ufutwe mara moja kila mtu aruhusiwe kumiliki anapomudu maadamu hajapora mtu
Kwa ajili ya familia ya Karume na Mwinyi.Mapinduzi Matukufu
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Zanzibar ni mali ya tanganyika ukae ukijua hilo, ni vile tu nyerere hakua mchangamfu na kupenda saaaana maongezi mareeeefu bila vitendo. Ilikua ni swala tu la kusema naifuta Zanzibar na wote tutakua watanganyikaZanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Mapinduzi yetu YadumuZanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).