Zanzibar bila Tanganyika

Zanzibar bila Tanganyika

Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI

Ila ndo koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Acha ujinga wewe hakuna visa ya kwenda Zanzibar.
 
Zanzibar huru
Zanzibar kuna Mzee alisema iliunganishwa na Tanganyika sababu ni Ulinzi, Zanzibar inalindwa na Tanganyika usiniulize kwanini Mzee alisema hivyo Mzee huyo alikuepo kwenye harakati zote za Mapinduzi kapasua yai katema Bungo kwa hio usalama wa Zanzibar upo chini ya Tanganyika maana baada ya mapinduzi kuna wanufaika waliopinduliwa walikua wanataka kurudisha mashambulizi wamwondoe Karume wachukue tena Zanzibar Karume akalileta kwa Nyerere ndio Nyerere akaenda kuilinda Zanzibar rasmi kwa kuunganisha mchanga kwenye Chungu kimoja kutoa onyo atakae igusa Zanzibar ameigusa Tanganyika kuanzia hapo Zanzibar ikawa IPO Salama
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI

Ila ndo koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
1. utalii upo ila ni kwasababu ya Tanganyika, peke yenu ninyi mngekua afghanistan sasaivi na hakuna mzungu angekuja sehemu yenye misimamo mikali namna hiyo.

2. Gesi hamna, mngekuwa nayo wala msingechelewa kuvunja muungano kwasababu ya ubinafsi wenu, hampendi kushare chochote na Tanganyika, uchoyo mtupu.

3. mafuta hamna, mngekuwa nayo usingekuwa unaongea hayo sasaivi.

4. karafuu mnazo, ila chache, ninyi wavivu. dunia ya sasa inachukua karafuu nyingi to ka madagascar.

5. mwani, ni kitu kidogo sana kwa uchumi.

the other way around,

1. Tanganyika, utalii ni mkubwa kwasababu ya mt.kilimanjaro na mbuga za wanyama. watalii wakimalizana na mbuga huwa wanaenda kufanya uzinzi zanzibar.

2. gas ipo, sio story, imeshachimbwa hata kuchimbwa.

3. mafuta yapo, ziwa Rukwa, Mkuranga na Pwani yote.

4. visa, msilalamike, hata ninyi umeme mnatumia wetu bure, hamjawahi kulipa. bila sisi ninyi mngewasha vibatari, mnnalelewa nyie, tunawalipia.

5. hamna kilimo, hamna biashara za maana bila muungano na maisha yenu ni magumu mno ndio maana mnakuja bara kuhemea ili mrudishe pesa kwenu. tukivunja muungano mtajazana pale zenji na mtakulana ninyi kwa ninyi.
 
Hata kulipa umeme tu Zanzibar haiwezi. Acheni kujidanganya, urithi wa kwanza kwa taifa lolote ni ardhi, kisha watu.

Zanzibar haina ardhi ya kutosha wala rasilimali watu. Elimu huko visiwani ni duni mno.
Kaka umenena vyema! huwa nawaambia Watanganyika wenzangu hapa, Zanzibar ni dhaifu mno kiuchumi, tuendelee tu kuisaidia ili angalau wasogee, tukiwaacha wataingia WAARABU waje kutuletea shida huku kama alivyosema Mhe. LUKUVI . Ingawa tunaumia, lakini ni kama kulea mtoto, akikua atajisimamia!
 
Kinachochekesha ni kuwa hatuutaki muungano huku idadi ya wakazi wenye asili ya visiwani ambao kwa sasa wanaishi bara, ni zaidi ya wale ambao wapo kule, hivi hujiulizi kwanini??

Huku ndio kwenye fursa ndio maana mamilioni wapo huku, na sisi wabara hatuna ubaguzi ndio maana dada zenu tunawahudumia na nyie pia ruksa kuyajenga

Huu muungano udumu daima ila huu ufala wa kazi za bara chawote halafu Zenji peke yenu na Ardhi bara chawote afu Zenji peke enu unapaswa ufutwe mara moja kila mtu aruhusiwe kumiliki anapomudu maadamu hajapora mtu
Ukweli ndiyo huo.
 
Zanzibar hamna kitu ndugu.

Wenyewe wamejaa huku bara wanasaka fursa.

Usiwaone tu wanajifanya wakaali ila wanategemea sana bara ili mambo yao yaende.
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI

Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).

Waarabu wanafadhili kuvunjika kwa muungano

Utahangaika sana utakufa muungano utauacha
 
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI

Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
Zanzibar ni mali ya tanganyika ukae ukijua hilo, ni vile tu nyerere hakua mchangamfu na kupenda saaaana maongezi mareeeefu bila vitendo. Ilikua ni swala tu la kusema naifuta Zanzibar na wote tutakua watanganyika
 
Mbona sisi wameuza bandari zetu ma mtu kutoka kwenu hatusemi!!!
 
Back
Top Bottom