Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndo koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. pesa inaliwa Tanganyika.
iii. Viongozi wanachaguliwa Dodoma (Tanganyika).
1. utalii upo ila ni kwasababu ya Tanganyika, peke yenu ninyi mngekua afghanistan sasaivi na hakuna mzungu angekuja sehemu yenye misimamo mikali namna hiyo.
2. Gesi hamna, mngekuwa nayo wala msingechelewa kuvunja muungano kwasababu ya ubinafsi wenu, hampendi kushare chochote na Tanganyika, uchoyo mtupu.
3. mafuta hamna, mngekuwa nayo usingekuwa unaongea hayo sasaivi.
4. karafuu mnazo, ila chache, ninyi wavivu. dunia ya sasa inachukua karafuu nyingi to ka madagascar.
5. mwani, ni kitu kidogo sana kwa uchumi.
the other way around,
1. Tanganyika, utalii ni mkubwa kwasababu ya mt.kilimanjaro na mbuga za wanyama. watalii wakimalizana na mbuga huwa wanaenda kufanya uzinzi zanzibar.
2. gas ipo, sio story, imeshachimbwa hata kuchimbwa.
3. mafuta yapo, ziwa Rukwa, Mkuranga na Pwani yote.
4. visa, msilalamike, hata ninyi umeme mnatumia wetu bure, hamjawahi kulipa. bila sisi ninyi mngewasha vibatari, mnnalelewa nyie, tunawalipia.
5. hamna kilimo, hamna biashara za maana bila muungano na maisha yenu ni magumu mno ndio maana mnakuja bara kuhemea ili mrudishe pesa kwenu. tukivunja muungano mtajazana pale zenji na mtakulana ninyi kwa ninyi.