Nimawazo tu,
Kama uholanzi Mawaziri wanafanya ziara kwa kutumia baiskeli kwa sababu wanabana matumizi ya pesa za walipa kodi.
Zanzibar nayo iige mfano kama huo walau mawaziri watumie boda boda na wakuu wa mikoa, wilaya, wawakilishi na masheha ndio waamua watumie boda boda au baiskeli.
Hii itasababisha hata wenzao bara waige mfano huo ili Tanzania tupeleke pesa nyingi kwenye maendeleo.
Sio Mawaziri wanakua na vitambi vikubwa kama mafurushi ya vyuma chakavu lazima tujitoe kuanzia sasa.
Sio tunaweka tozo tu bila kujali matumizi bora.
Kwa mfano waziri anatoka kimara hadi manzese ni elfu tatu kwa bajaji lakini utakuta anatumia mamilioni mangapi sijui, haya Waziri unatoka darajani kwenda shamba nauli ni elfu mbili na mia tano lakini kubebebsha mzigo tu wananchi na blah blah kwenye makaratasi.