Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

Ufundishwe kuandika 1 million kwa tarakimu?
Uko sahihi,lakini bado Zanzibar ni nchi kwani nchi haitafautishwi na population yake..,ongeza hizo zero kwenye tarakimu ili iwe 1,500,000
 
Zenji ni ndogo mno ukiileta Tz bara haikuti ukubwa wilaya ya handeni kwa wagoshi ila wanashindwa kujisimamia ngoja tuwasimamie
 
Ndio maana Zanzibar inataka kujikomboa,kujitoa katika huu mungano wa kunyanyasana na kusengenyana..

Ukumbwa wa nchi sio kigezo kuwa nchi isiwe nchi,..

Taifa la kisiwa cha Tuvalu kina watu kumi na moja elfu mia mbili. (11,200,),lakini bado ni taifa lenye kiti umoja mataifa..

Taifa la kisiwa cha Kiribati lina watu 119,446 tu,..

Sasa mnashanga nini Zanzibar yenye zaidi ya watu millioni moja laki tano(15000)..

Tatizo la Watanganyika hamfikiri kwa kutumia akili bali mnatumia maka...li....... na ndio maana mnaburuzwa buruzwa ..
Hata sisi huku bara wenyewe hatuwataki ni viongozi wameng'ang'ania [emoji1787]

Kawachukue ndugu zako kariakoo na kule kwanjeka tanga muondoke muone hio shoo yake jinsi mtakavyopigwa na umaskini maana nyie ni kupe bila sisi hamna lolote
 
Daaah! hii komenti ndo Kessy alikua anapenda kuzisema za namna hii!
 
Ndio maana Zanzibar inataka kujikomboa,kujitoa katika huu mungano wa kunyanyasana na kusengenyana..

Ukumbwa wa nchi sio kigezo kuwa nchi isiwe nchi,..

Taifa la kisiwa cha Tuvalu kina watu kumi na moja elfu mia mbili. (11,200,),lakini bado ni taifa lenye kiti umoja mataifa..

Taifa la kisiwa cha Kiribati lina watu 119,446 tu,..

Sasa mnashanga nini Zanzibar yenye zaidi ya watu millioni moja laki tano(15000)..

Tatizo la Watanganyika hamfikiri kwa kutumia akili bali mnatumia maka...li....... na ndio maana mnaburuzwa buruzwa ..
Kwa hiyo lawama unawatupia Watanganyika badala ya hao wenyewe akina yakheee??
 
Kessy alikua anafurahisha sana bungeni,hawataki kabisa hao wazenji,anasema wanatunyonya,anajenga hoja hadi inakua na mantiki,nimemmisi sana,2025 agombee arudi tena yule mwamba.
Yule jamaa akichangia ishu yoyote inayohusu Muungano wazenji wanaanza kufura😅😅😅
 
Rwanda na Burundi nazo ni ndogo sana, kila moja ukubwa wake ni kama mkoa mmoja wa Tanzania bara ila population zao ni kubwa sana kuliko Zanzibar
 
Kwa mim ningenunua tu pafyum ya bei ka issey miyake naigonga ile .natembea zangu na baskel tu.unless niwe na safar ya dodom.ile pafyum hat u sweat vip hunuk bali unanukia tu
 
Akirudi itapendeza sana,yuko real sana yule mzee,anaongeaga kitu kutoka moyoni kabisa.Ngoja amalizie kuomboleza kifo cha jamaa yake JPM.
Nammiss sana yule Mheshimiwa ingawa Wazenj hawataki hata kulisikia jina lake, zanzibar unaweza kupiga filimbi na ngoma na waote wakakusanyika kwa muda mfupi hah hah
 
Dar sio tu ni ndogo kiramani hata kwa kutembea na magulu ni ndogo mno!
Nakupa mfano kuna kijiji kinaitwa Kalenga mkoani Iringa watu wanatembea kwa miguu hadi mjini kila siku unaujua umbali wake?
Kalenga hapo tu mia 5
Paref ila hapazid km 13. Ukikunja tu isakalilo mwangata mlandege samora umefika mashin tatu.
 
Back
Top Bottom