HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwamba uanzie daraja la bunju au kiluvya hadi kisemvule au chanika?Dar ni kubwa kama ni mchana kuna foleni, anza kutembea Dar saa nne usiku ndio utajua Dar ni ndogo sana, anza saa nne usiku inafika 11 alfajiri umemaliza maeneo yote muhimu unayoyajua.