Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

Zanzibar ilivyo ndogo, Waziri anaweza kufanya ziara kwa Bodaboda na akawafikia wananchi

Dar ni kubwa kama ni mchana kuna foleni, anza kutembea Dar saa nne usiku ndio utajua Dar ni ndogo sana, anza saa nne usiku inafika 11 alfajiri umemaliza maeneo yote muhimu unayoyajua.
Sasa Unguja ndio saizi ya dar, halafu kuna Pemba, hivyo Zanzibar ni ndogo ukilinganisha na bara ila sio kisiwa kidogo kihiivyo kama watu wanavyodhania
 
Kessy alikua anafurahisha sana bungeni,hawataki kabisa hao wazenji,anasema wanatunyonya,anajenga hoja hadi inakua na mantiki,nimemmisi sana,2025 agombee arudi tena yule mwamba.
Ally kessy alijua kuwashushua wale jamaa kinoma.
 
Back
Top Bottom