Kwamba uanzie daraja la bunju au kiluvya hadi kisemvule au chanika?Dar ni kubwa kama ni mchana kuna foleni, anza kutembea Dar saa nne usiku ndio utajua Dar ni ndogo sana, anza saa nne usiku inafika 11 alfajiri umemaliza maeneo yote muhimu unayoyajua.
Ndugu Yako RamaNi kweli kabisa hii kitu nimewahi kufanya miaka fulani aisee sikuwa naelewa hata nafikaje fikaje maeneo ambayo mchana yananitoa jasho kufika
Lawama zote zinakwenda kwa akina yakhe wenye akili ya kitumwa "slavery mentality"..Kwa hiyo lawama unawatupia Watanganyika badala ya hao wenyewe akina yakheee??
Zanzibar ilikuwa Empire,hivi sasa imekuwa omba ombaHata sisi huku bara wenyewe hatuwataki ni viongozi wameng'ang'ania [emoji1787]
Kawachukue ndugu zako kariakoo na kule kwanjeka tanga muondoke muone hio shoo yake jinsi mtakavyopigwa na umaskini maana nyie ni kupe bila sisi hamna lolote
Lawana nawatupia wachumia tumbo wa Zanzibar,wanahiyari Zanzibar izame lakini matumbo yao yajaeKwa hiyo lawama unawatupia Watanganyika badala ya hao wenyewe akina yakheee??
Bila hao ndugu zangu Kariakoo Tanganyika mngelikuwa kizani,wamekuonyesheni na kukufundisheni Biashara,hivi sasa kila Mtanganyika anajua kwenda China..Hata sisi huku bara wenyewe hatuwataki ni viongozi wameng'ang'ania [emoji1787]
Kawachukue ndugu zako kariakoo na kule kwanjeka tanga muondoke muone hio shoo yake jinsi mtakavyopigwa na umaskini maana nyie ni kupe bila sisi hamna lolote
Huyo mama ni mama yenu sio wetu,sisi tunamtaka raisi wa Zanzibar apige kura maoni ya Zanzibar kujitoa kwenye hili janga la Mungano..Mkuu jitahidini kumtumia Mama mjitoe na.muondoke wooote bara mkajazane kwenye tule tuvisiwa tunavyozidi kudidimia, najua una habari kuwa baadhi ya visiwa vya wavuvi vimeanza kupote, unajua inamaanisha nini?
Go ahead and depart, ushamsikia mbara wa kawaida anayelilia muungano zaidi ya viongozi ambao wanaendeshwa na.mzimu wa Nyerere kuhusu Muungano na Mwenge
Jifunze kutafautisha baina ya L na R,ni halafu sio harafu..Harafu mtu anakuja kumsifia Mwinyi 😁😁
Ahahahahaha Babu nimecheka kam boya flnAliyekuwa Mbunge wa Nkasi Mh. Ally Keissy aliwahi kusema Zenji unaweza kuwakusanya watu kwa kupiga filimbi tu, jamaa wakamjia juu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Lipeni kwanza deni la umeme..mana kwa umasikini ulivyo wazidi hadi umeme mnashindwa kulipa bili hadi msamehewe..mchanga kokoto mnachimba Tanganyika bure kabisa ninyi vi jamaa.Lawama zote zinakwenda kwa akina yakhe wenye akili ya kitumwa "slavery mentality"..
Zanzibar ilikuwa Empire,hivi sasa imekuwa omba omba
Hakuna kisiwa masikini duniani,iachieni Zanzibar ijiamulie mambo yake wentewe uone itavyopiga hatua za kimaendeleo
Huna lolote hakuna chochote mmetufundishaBila hao ndugu zangu Kariakoo Tanganyika mngelikuwa kizani,wamekuonyesheni na kukufundisheni Biashara,hivi sasa kila Mtanganyika anajua kwenda China..
Huku Zanzibar hivi sasa kuna makundi ya Watanganyika,wanakuja kuomba omba misikitini na kuuza karanga mitaani,mama nitilie vichochoroni..
Kuna tafauti kubwa ya Mzanzibari alioko Tanganyika,na Mtanganyika alieko Zanzibar
Tafuta video ya Lukuvi kwenye youtube,utapata jibu,kama mnatun'gan'gania ua venginevyoHuna lolote hakuna chochote mmetufundisha
Kwanza mmewaona ndugu zenu maisha wanayoishi kule kwanjeka tanga [emoji1787]
Ukweli ni kwamba hata sisi hatuwataki
Yaani kichwa chako kama ulikuwa unawaza sisi tunawang'ang'ania ondoa hilo
Wanaotaka hivyo ni viongozi wenu waambien maana wanataka kushibisha matumbo yao
Turejesheeni pesa zetu,mlizofungulia Benk of Tanzania.Lipeni kwanza deni la umeme..mana kwa umasikini ulivyo wazidi hadi umeme mnashindwa kulipa bili hadi msamehewe..mchanga kokoto mnachimba Tanganyika bure kabisa ninyi vi jamaa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mgao gani ninyi kupe..tuambieni mnachangia shilling ngapi kwenye bajeti ya muungano?...mnabebwa sana na ufukara wenu yetul mnazidi kutunyea..kweli kisicho ridhiki..tumewasaidia kumuondoa sultani je hizo gharama za mapinduzi mlitulipa.?Turejesheeni pesa zetu,mlizofungulia Benk of Tanzania.
Tupeni mgao wetu kutoka katika serikali ya Mungano
East Africa federation ilipokufa pesa zote mmechuka Watanganyika,katika hizo pesa ulikuwemo mgao wa Zanzibar,rejesheniMgao gani ninyi kupe..tuambieni mnachangia shilling ngapi kwenye bajeti ya muungano?...mnabebwa sana na ufukara wenu yetul mnazidi kutunyea..kweli kisicho ridhiki..tumewasaidia kumuondoa sultani je hizo gharama za mapinduzi mlitulipa.?
Mikopo inayokopwa na kupewa gawio huwa mnailipa vipi?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Halafu anasema watu wanafikiria kwa kutumia makali0Ufundishwe kuandika 1 million kwa tarakimu?
Ukosefu wa zero sio issue,kweli mnafikiri kwa kutumia ma..ta..Halafu anasema watu wanafikiria kwa kutumia makali0
Sasa huyo si kiongoziTafuta video ya Lukuvi kwenye youtube,utapata jibu,kama mnatun'gan'gania ua venginevyo
Mkuu hizo kura za maoni huko haziwezi kuwatoa kama zitaitishwa na Mwinyi maana yeye anauwezo wa kuamua mambo ya ndani tu na sio Muungano, Mh. Samia ndio anaweza kuitisha kura ya nchi nzima ili kuamua hiloHuyo mama ni mama yenu sio wetu,sisi tunamtaka raisi wa Zanzibar apige kura maoni ya Zanzibar kujitoa kwenye hili janga la Mungano..
Nimeshawahi kumsikia Lukuvi akiwa kanisani akieleza kwanini Tanganyika imeing'ang'ania Zanzibar..
Lukuvi ni mtu wajuu katika siasa za Tanzania,video zimezagaa kwenye mitandao kuhusu kauli yake hiyo aliyoitoa kanisani
Katiba ya Zanzibar inaruhusu kura za maoni kuhusu jambo lolote lileMkuu hizo kura za maoni huko haziwezi kuwatoa kama zitaitishwa na Mwinyi maana yeye anauwezo wa kuamua mambo ya ndani tu na sio Muungano, Mh. Samia ndio anaweza kuitisha kura ya nchi nzima ili kuamua hilo