Dar ni kubwa kama ni mchana kuna foleni, anza kutembea Dar saa nne usiku ndio utajua Dar ni ndogo sana, anza saa nne usiku inafika 11 alfajiri umemaliza maeneo yote muhimu unayoyajua.
Kessy alikua anafurahisha sana bungeni,hawataki kabisa hao wazenji,anasema wanatunyonya,anajenga hoja hadi inakua na mantiki,nimemmisi sana,2025 agombee arudi tena yule mwamba.