Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini kujifungua hakuna kubeba vikorokoro, hata akijifungua kwa operation halazimiki kuchangia hiyo gharama.
Hapa Dar es salaam mke wako akijifungua kwa operation kazi unayo iwe public au private hospital.
Hii ni kwasababu Zanzibar ina watu wenye akili nyingi.
Tuombee vizazi vyeti viwe na akili nyingi ili wasiishi kwa kubahatisha.