Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Hii tabia ya kujizolea mimali ni tabia ya kishetaniTunashukuru kwa matusi yakhee, ila kwa hili la kujali huduma ya afya kwakweli hapo mliweka urojo pembeni mkapiga kazi
Huku bara twalia yakhee, watu wanalimbikizia mali tu wakiumwa waenda tibiwa ulaya sheikh