Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

Zanzibar ina watu wenye akili sana. Serikali yao inatambua hili ndio maana huduma zote muhimu za afya hupewa bure

Tunashukuru kwa matusi yakhee, ila kwa hili la kujali huduma ya afya kwakweli hapo mliweka urojo pembeni mkapiga kazi

Huku bara twalia yakhee, watu wanalimbikizia mali tu wakiumwa waenda tibiwa ulaya sheikh
Hii tabia ya kujizolea mimali ni tabia ya kishetani
 
Back
Top Bottom