Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Angalau umeona. Kuna wajinga humu husema Zanzibar wala urojo, mara ooh Zanzibar huwafanya watoto wasiwe na vichogo na ndio maana huwa na akili ndogo.Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini kujifungua hakuna kubeba vikorokoro, hata akijifungua kwa operation halazimiki kuchangia hiyo gharama.
Hapa Dar es mke wako akijifungua kwa operation kazi unayo iwe public au private hospital.
Hii ni kwasababu Zanzibar ina watu wenye akili nyingi.
Tuombee vizazi vyeti viwe na akili nyingi ili wasiishi kwa kubahatisha.
Si ndio akili hizo.Siyo Zanzibar Wana akili Bali watanganyika ni mazuzu kwa kung'ang'ania muungano usio na faida. Zanzibar wqnakopa pesa kwa huduma za afya deninwanalipa watanganyika,, lazima wajidai
Nyerere namlaumu sana kwenye haya mabutumbafuAnayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini kujifungua hakuna kubeba vikorokoro, hata akijifungua kwa operation halazimiki kuchangia hiyo gharama.
Hapa Dar es salaam mke wako akijifungua kwa operation kazi unayo iwe public au private hospital.
Hii ni kwasababu Zanzibar ina watu wenye akili nyingi.
Tuombee vizazi vyeti viwe na akili nyingi ili wasiishi kwa kubahatisha.
Hata wabara wakienda Zanzibar wanajifungua bure?Anayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini kujifungua hakuna kubeba vikorokoro, hata akijifungua kwa operation halazimiki kuchangia hiyo gharama.
Hapa Dar es salaam mke wako akijifungua kwa operation kazi unayo iwe public au private hospital.
Hii ni kwasababu Zanzibar ina watu wenye akili nyingi.
Tuombee vizazi vyeti viwe na akili nyingi ili wasiishi kwa kubahatisha.
ALileta muungano wa hovyo snNyerere namlaumu sana kwenye haya mabutumbafu
Hata sisi wabara tukiwa Zanzibar huduma ni bure?Zanzibar hata ukiumwa figo dialysis anafanyiwa bure
Zanzibar wana akili sana kujipendelea
Ndio.Hata wabara wakienda Zanzibar wanajifungua bure?
Kwenda zakoNdio.
Mimi mtanganyika naishi Zanzibar kwa sasa, kwenye hospitali za bure mke wangu anapata huduma za bure.Kwenda zako
Hata sisi wabara tukiwa Zanzibar huduma ni bure?
Wanatibiwq bure wazungu atakuwa mbaraHapana. Lazima uwe m zanzibar ndio bure
Usidanganyike, Tanganyika ndio tunao gharami hiyo uduma ya afya ZanzbarAnayebisha aende hapo Zanzibar nauli ni ndogo tu kwenda na kurudi. Unakwenda asubuhi mchana unafanya tafiti zako jioni unarudi
Huduma zote za afya hasa zile za msingi au zile za umuhimu zaidi Zanzibar ni bure kabisa.
Zanzibar mwanamke anapokwenda zahanati, kituo cha afya au hospitalini kujifungua hakuna kubeba vikorokoro, hata akijifungua kwa operation halazimiki kuchangia hiyo gharama.
Hapa Dar es salaam mke wako akijifungua kwa operation kazi unayo iwe public au private hospital.
Hii ni kwasababu Zanzibar ina watu wenye akili nyingi.
Tuombee vizazi vyeti viwe na akili nyingi ili wasiishi kwa kubahatisha.
Tunashukuru kwa matusi yakhee, ila kwa hili la kujali huduma ya afya kwakweli hapo mliweka urojo pembeni mkapiga kaziAngalau umeona. Kuna wajinga humu husema Zanzibar wala urojo, mara ooh Zanzibar huwafanya watoto wasiwe na vichogo na ndio maana huwa na akili ndogo.
Nyinyi Watanganyika nani aliyewaroga??!!
Kaeni na vichogo vyenu kama nyanya mshumaa 🤣