Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT.
Zitto Kabwe hivi karibuni alitamka kwenye vyombo vya habari kwamba ACT inahitaji Tume Huru na siyo Katiba mpya. Hapa Zanzibar tumechukizwa sana na haya maneno na hatuoni ACT au CCM B kutuvusha kushika dola. Maoni yangu ninchama kipya tutakachokiamini na siyo ACT