jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nadhani wazenji ndio wanapaswa waingie cdm kwakuwa ndio sehemu pekee katika vyama vya upinzani chenye nguvu bara..kuanzisha chama kipya inahitaji nguvu kubwa sana kukisimamisha na kupata wanachama hasa bara.Mkuu usitegemee wa Zenj waingie CHADEMA kiwepesi, CHADEMA walitakiwa kuwashawishi ili waweze kuwa pamoja nao, kitu ambacho wameshindwa mpaka muda huu.
Hivyo kwangu mimi option waliyonayo wazenji ni either cdm or ccm..tofauti na hapo watakua wanajidanganya na kupoteza muda tu
#MaendeleoHayanaChama