Zanzibar inahitaji chama kingine kushinda Uchaguzi

Mkuu usitegemee wa Zenj waingie CHADEMA kiwepesi, CHADEMA walitakiwa kuwashawishi ili waweze kuwa pamoja nao, kitu ambacho wameshindwa mpaka muda huu.
Nadhani wazenji ndio wanapaswa waingie cdm kwakuwa ndio sehemu pekee katika vyama vya upinzani chenye nguvu bara..kuanzisha chama kipya inahitaji nguvu kubwa sana kukisimamisha na kupata wanachama hasa bara.

Hivyo kwangu mimi option waliyonayo wazenji ni either cdm or ccm..tofauti na hapo watakua wanajidanganya na kupoteza muda tu

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi why Seif alijiunga na ACT badala ya Chadema? Hakuna mwenye za jikoni?Tuseme hawakujua kama hawa ni mamluki

Mkuu tatizo la CHADEMA hawakuwa tayari kugawana madaraka, Maalim hakukubali kuingia kwenye ndoa ya kuburuzwa. Kwa mfano Zitto hana Mamlaka yoyote ya mambo yanayohusu Zanzibar, yeye ameachiwa Ashughulikie ya Bara.
 
Hivi why Seif alijiunga na ACT badala ya Chadema? Hakuna mwenye za jikoni?Tuseme hawakujua kama hawa ni mamluki
Mku Mbowe kuwepo ndani ktk issue ya Akulina ni mpango Seif asiingie kwenye mikono ya Mbowe kwani sio salama kwa wenye mpango.
Lakini kuwa Act kulikuwa salama kwa wenye mpango wao.
Hii niliisoma humu Jf kuna mdau alichambua vizuri sana humu
 
Mkuu usitegemee wa Zenj waingie CHADEMA kiwepesi, CHADEMA walitakiwa kuwashawishi ili waweze kuwa pamoja nao, kitu ambacho wameshindwa mpaka muda huu.

Sio wameshindwa ipo siku Mambo yatabadilika jipe muda.
 
Still bado zito kawadominate mana ndio kiongozi wa chama yeye ndio ana cheti cha usajili wa chama probably na password za account za chama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi why Seif alijiunga na ACT badala ya Chadema? Hakuna mwenye za jikoni?Tuseme hawakujua kama hawa ni mamluki
Kuna hoja nzuri aliitoa aliyekua mbunge wa kilwa kaskazini kama sijakosea mh Suleiman bungala..alisema act bado ni chama kichanga hakijakomaa hivyo ni virahisi kukiweka sawa vile wanachama wanavyotaka..tofauti na vyama vikongwe ambavyo alivifananisha na samaki mkavu..huwezi kuvikunja.

#MaendeleoHayanaChama
 
Still bado zito kawadominate mana ndio kiongozi wa chama yeye ndio ana cheti cha usajili wa chama probably na password za account za chama.

#MaendeleoHayanaChama

Tatizo kuu nikuwa Zitto anafahamu kuwa mbwembwe zake zote zinatokana na Wapemba, Bila ya kukaa nao vizuri ataishia kurudi na chama cha Jimbo moja kama kilivyokua mwanzo.
 
Hilo ndio moja tatizo kuu la CHADEMA na wafuasi wake, ni kujiona wao ni greats na wengine wote wanahitaji kuwafuata wao bila yao wao kujikurubisha kwao.
 
Mkuu usitegemee wa Zenj waingie CHADEMA kiwepesi, CHADEMA walitakiwa kuwashawishi ili waweze kuwa pamoja nao, kitu ambacho wameshindwa mpaka muda huu.
Wazanzibari wameona wazi kabisa kuna tatizo na ACT. Soon chama kitambakia Zitto Nondo na Baba Levo
 
Kwa huu ujinga wa udini na ukabila uliouandika hapa, ni haki Zitto awauze maana akili hamna
 
Hilo ndio moja tatizo kuu la CHADEMA na wafuasi wake, ni kujiona wao ni greats na wengine wote wanahitaji kuwafuata wao bila yao wao kujikurubisha kwao.
Hii inaitwa kupisha mwenye nguvu apite...uliona marekani anakuja tz kuomba msaada au mtz ndio anaenda kwa mmarekani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wazanzibar kwa zitto mmeliwa! Ukiona mtu cdm wanamtilia Shaka fikiria Mara mbili. Najua nao wanamadhaifu yao Kama wanadamu. Lkn wapi vizuri kuliko vyama vyote. Zito Kesha wauza kwa CCM muda, wapemba mmetoa macho tuu.
 
Wanzanzibar kujiunga na ACT was a marriage of convinience kuwezesha "CUF" kushiriki uchaguzi uliopita. Ndoa hii inaweza kuvunjika muda wowote.
 
Chadema una walinganisha na Act you can't be serious! !..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…