Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
tena uzembe wake ni mkubwa zaidi maana uwezo wa kuchambua details anao ila hautumii - too much energy wasted on arguing for the sake of arguing!
Nyani haoni kundule!
tena uzembe wake ni mkubwa zaidi maana uwezo wa kuchambua details anao ila hautumii - too much energy wasted on arguing for the sake of arguing!
nenda gym
Kusumbua akili si monopoly ya wasio wazembe. Wengine wanaweza hata kukwambia wazembe ndio hodari wa kusumbua akili kwa sababu hawajui kufikiri efficiently na kufikiri kuhusu vitu vyenye tija.
Mtu mmoja hawezi kufanya yote lakini anaweza kufanya the most basic researches kwa kutumia google. Mwanakijiji hakufanya hata hiyo.
Mie ndiyo nimekataa kuimba kwaya bila details, utaniunganishaje tela?
Which underscores my point even more. Kama mtu hana details utaanzaje kuchangia in an efficient, meaningful way?
Kuna Physicist mmoja akiitwa Wolfgang Pauli, huyo mzee walikuwapo graduate students wanampelekea theories zao azi asses na kusahihisha, basi ukimletea kazi haijakaa sawa anakwambia "hii siwezi kuisahihisha kwa sababu it is not even wrong" maana yake, unaweza ukawa so off base kiasi kwamba watu wakashindwa hata ku falsify claims zako, kwa sababu huna details. Hapo unakuwa not only not right, but also not even wrong, less than wrong actually.
Sasa hii idea ya Mwanakijiji ndiyo ina fall huko kwenye "not even wrong", how can it be wrong while it doesn't even have details?
Aliyependekeza ndiyo alete details, mie naweza kukwambia miradi mikubwa mikubwa isiyo ya lazima yote kwa nchi masikini siitaki na sina incentive ya kuifanikisha kwa kuipromote hapa, utaniambiaje?
Yaani aliyetoa pendekezo bila details sio mvivu, mie ninayekwenda kutaka details ndiye mvivu? Mvivu toka lini atake details? Mvivu anakimbia details.
You don't have the nose to tell mipasho from Cultute.
Hizi sasa ni kelele tu!
I might as well watch my Hawks kick Miami's azz.
LOL nasikia Palin weny may run for presidency through chama chenu cha wauza chai!
Akifanya hivyo ataharibu kama kibabu Ross Perot. Washikamane tu wamtupilie mbali Obama wenu.
U mean Obama aliyekupa free medical care uliyoifagilia humu JF?
...Hatuna uthubutu wa kuwekea watoto zetu madawati darasani, tutaweza "the bridge to nowhere"?
Kama unakaa US, most likely unapata entitlements.Sijawahi kuwa kwenye government entitlement program yoyote ile mimi and I don't plan being on one.
Kama unakaa US, most likely unapata entitlements.
Kwenye gas kuna hela ya serikali, prescription drugs kuna hela ya serikali, health insurance kuna hela ya serikali, mazao kadhaa ya vyakula kuna hela ya serikali, pamba, hata ukitumia q-tips kuna hela ya serikali...Thibitisha.
Kwenye gas kuna hela ya serikali, prescription drugs kuna hela ya serikali, health insurance kuna hela ya serikali, mazao kadhaa ya vyakula kuna hela ya serikali, pamba, hata ukitumia q-tips kuna hela ya serikali...
kama una mtoto anasoma public school kuna hela ya serikali.... parks, public transport etc..
Government subsidy is a form of entitlement.
Kodi.The most ridiculous item of the day!
Na hiyo hela ya serikali inatoka wapi?
Kodi.
Kwani hela ya foodstamps inatoka wapi? Au ya welfare?
Kwani watu walio kwenye welfare hawalipi kodi?
Almost impossible,road tolls, city taxes hata ukinunua fegi,property taxes,sales taxes ukinunua bidhaa mbalimbali... the list goes on.Najua watu kibao waliopo kwenye welfare ambao hawalipi kodi, ndiyo!
Almost impossible,road tolls, city taxes hata ukinunua fegi,property taxes,sales taxes ukinunua bidhaa mbalimbali... the list goes on.
Income tax is just one of so many taxes and almost everyone somehow pay taxes.
Na kila mmoja yupo "entitled" kupata huduma mbalimbali depending on their income.
I get up every morning, Monday through Friday to go to work. For each paycheck, four different kinds of taxes are withheld; Federal Income Tax, Social Security Tax, Medicare Tax, and State Income Tax.2 [count] US : a type of financial help provided by the government for members of a particular group
▪ entitlements such as medical aid for the elderly and poor. Source:Merriam-Webster's Learner's Dictionary
Show IPA/ˈsʌbsɪdi/
Show Spelled Najua watu kibao waliopo kwenye welfare ambao hawalipi kodi, ndiyo!
Uelewaji wenu kwenye haya mambo si mkubwa sana. Ila mna makelele mno!!!, like you know a lot, but the more you talk the more I figure y'all out.That's why I have decided to become a fiscal conservative. Once you start receiving welfare, it becomes difficult to get out. Similarly, once the country starts receiving foreign aid, it won't quit.