Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hatuna uthubutu wa chochote!
Hata wa kupost proposal JF kwa scant details!!!
Hatuna uthubutu wa chochote!
Ni kweli, kama issue hapa ni "kuthubutu" tuthubutu kuanza na madawati.
Unajua tunatenda kana kwamba tumeweza kutumia uwezo wetu wote tulionao. Ni kana kwamba tumetumia raslimali zetu zote, human resource yote imekwisha n.k My contention ni kwamba uwezo wetu tunaotumia (potential) yaweza isizidi asilimia kumi (nikiwa nimependelea kweli). Hatujatumia ardhi yetu vya kutosha, hatujatumia maji yetu vya kutosha, hatujatumia vichwa vyetu ya kutosha, na hatujatumia raslimali zetu mbalimbali vya kutosha! Imagine siku tukiweza kutumia uwezo wetu hata kwa asilimia 50 tu!
Maawati mbona unaenda mbali, tuthubutu ku-google details kwanza kabla ya kupost habari za kufikirika!!
Nyani haoni kundule.
Nyani yupi - Ngabu?
Tume-google details tumekuwekea ila wala huja-engage nazo bali unaendeleza tu ligi ileile, au ndio mambo ya ku-argue for the sake of arguing ('intellectual masturbation' as they call it!)
Hata thread ya kuchochea kujenga daraja imejaa uzembe, no wonder hatuwezi kujenga midaraja hii.
Angalia nilipoweka rangi! Hapa NDIPO YOTE YALIPO. Uthubutu wa kufiri MBALI HAUPO. Wanafikiria kuneemesha matumbo yao na namna gani WAIBE ili wazidi KUBAKI madarakani. Miradi kama huo inahitaji UTHUBUTU na KUJITOA! Fikiria: Rais ANAPOTANGAZA kumfukuza Askari aliyetinga DISCO na silaha na Waziri wa Ujenzi ANAPOTANGAZA wafanya biashara watoke kwenye hifadhi ya Barabara, wakiwa kwenye mkutano,ATAFIKIRIA kuanzaisha mchakato wa Ujenzi wa daraja kama hilo?
Na wewe ni sehemu ya huo huo uzembe?
Mie ni sehemu ya wale wanaomulika uzembe huo.
Details gani, vitalu vya mafuta ambavyo havina relation na thread hata kidogo?
Kama unajua kuthubutu unampa mtu link, detail hiizi hapa, sema kingine.
Sasa hivi naweza kukwambia we are in the 22nd page of this thread, kusema "tumekuwekea details" badala ya kunipa link ni uzembe sawa tu na kutoweka details.
Hata thread ya kuchochea kujenga daraja imejaa uzembe, no wonder hatuwezi kujenga midaraja hii.
Mie ni sehemu ya wale wanaomulika uzembe huo.
Na wewe ni sehemu ya huo huo uzembe?
Uzembe ni kupendekeza kujenga daraja bila ya kufanya the most basic of researches hata kwa google tu, kutotumia rasilimali ulizonazo, halafu hapo hapo kuja kulaumu viongozi/ watanzania kwamba hawajui kutumia rasilimali walizonazo.
Bila kugundua hata wewe mwenyewe uko katika mkumbo huo huo.
Uzembe ni kulaumu wanasiasa kwamba wanafanya maamuzi ya kitaalamu bila ya kuwa wataalamu wala kuwasikiliza wataalamu.
Halafu hapo hapo unakuja JF kuleta mada inayohitaji input ya kitaalamu, bila detail yoyote wala any apparent input kutoka kwa wataalamu.
Ukiulizwa details unaleta ushairi pinda kama umekunywa shayiri tinda.
Practice what you preach Sir, kasome vizuri posti tulizoweka utaona kuna details zaidi ya hizo za vitalu - mwenzako Gaijin kaziona sasa anazi-digest taratibu, who knows maybe ataibuka na uchambuzi wa kihandisi kuhusu ujenzi huu!
nimeshakwambia uzembe zaidi ya kutoleta details ni kuleta details halafu kutojua kufanya reference.
Ni uzembe kutumia internet -ambayo inasifika kwa the revolutionary idea of hyperlinking- kama gazeti la uhuru.
Ni uzembe zaidi kutumia internet na teknolojia yake yote ya hyperlink kwa kusema "angalia post namba ngapi", lakini wewe hata uzembe huu umekuwia vigumu kuufikia, uzembe wako ni zaidi, unaleta habari kwamba umetoa details bila kutoa hata namba ya post, acxhilia mbali hyperlink.
Unafikiri watu wanashindia ukarani JF?
Sikubaliani kabisa na wewe. Mtu hadi kufikia kufikiri hivyo ni kwamba kasumbua akili yake na kamwe kwangu huo hauwezi kuwa uzembe.
Mtu mmoja hawezi kufanya yote. Wewe pale unapoona kuna mapungufu kwa nini usitoe mchango wako kuziba hayo mapungufu? Knachokushinda wewe ni nini?
Of course wewe haupo eeh? I figured as much!!😛oa
Hapa nakubaliana na wewe. Kukaa pembeni na kusubiri kulaumu laumu na kukosoa tu ni uzembe. Kama unaona wenzako wama mapungufu kwa nini usitoe mchango wako kuziba hayo mapungufu kama na wewe kweli una maslahi?
Stop being lazy! You can bring what you are requesting others to bring....or can't you?
Mipasho ya nini tena? Kwani tuko Buliaga Bar hapa?
nenda gym
haha, unanipangia? unaona nakiubana na ukweli nini?
Muda wangu wa kwenda gym unawadia kweli.
Adios Amigos.