DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
•Zanzibar channel located between longitude 38.8oE – 39.6oE and latitude 5.5oS – 6.8oS. (the coasts of Tanzania mainland and that of Unguja Island)


•The length of the channel is about 120Km and 35 – 40Km wide

- www.theissresearch.org/zanzibar/presentation.ppt

Companero,

Likijengwa daraja unakuwa unakwenda kupiga picha kila siku kama daraja la pale Manzese.
 
Inabidi tumuombe moderator afungue forum ya Be Bold. Hili watu wazungumze vitu vikubwa, ndoto, na visions.


kweli, mimi njozi yangu ni kuunganisha ziwa nyanza, bahari ya azania, mto ruvuma, ziwa nyasa na ziwa tanganyika kwa barabara au reli inayopita pembeni ya mpaka wa tanzania na kuizunguka nchi yote.
 
kabla ya hilo daraja hapo juu kuna watu waliangalia bahari wakafikiria; halafu akawashirikisha wenzake, wakaona mantiki, wakaenda mbele, wakafikiria wakaona ni feasible, wakaenda mbele na kufanya upembuzi yakinifu wakaona na gharama, wakaweka sera, wakaweka bajeti, wakaanza mchakato miaka mitano baadaye daraja hilo hapo. Remember ni chini ya chama kimoja!!!

Mr Hilo linawezekana kabisa kutokana na fedha nyingi zinazopotea kwa wizi,ila nafikiri kabla ya kwenda huko ingekwa vyema fedha kama hizo au na zaidi kidogo zingetumika kwenye miundo mbinu ya KILIMO CHA UMWAGILIAJI katika mabonde yetu kama mbarali,rufiji,kilombero nk kama walivyofanya wachina huko nyuma ili tuwawezeshe wananchi wengi kujitegemea kwanza,then kwenye miundo mbinu mingine kama barabara za uhakika na umeme wa uhakika hospitali na shule za uhakika.Tukiwa navyo hivyo vitu kwa uhakika na ubora then tutakuwa tumepiga hatua ya kutosha kuweza kufikiria vitu kama hivyo.We unaonaje
 
Umeona wapi neno uamuzi?...
Hizo ni ambitions za kutaka kujenga roller coaster (even a ferris wheel) uani wakati hata fedha za kuwasomesha watoto huna.
Kwanini tujenge daraja kwenda unguja? Kwanini?
Hilo la kigamboni tu linatutoa jasho.
Hatuwezi hata kuunganisha Kigoma-Kalemie ili tuunganishe Indian na Atlantic oceans.

Ndio maana viwanda vya magari uwa wanatengeneza concept cars.
 
Inabidi tumuombe moderator afungue forum ya Be Bold. Hili watu wazungumze vitu vikubwa, ndoto, na visions.

Naaah...we are too poor and that will be too much for us to think about when we have a gazillion of pressing issues.
 
If we are poor, why do we spend richly?

Unajua tunatenda kana kwamba tumeweza kutumia uwezo wetu wote tulionao. Ni kana kwamba tumetumia raslimali zetu zote, human resource yote imekwisha n.k My contention ni kwamba uwezo wetu tunaotumia (potential) yaweza isizidi asilimia kumi (nikiwa nimependelea kweli). Hatujatumia ardhi yetu vya kutosha, hatujatumia maji yetu vya kutosha, hatujatumia vichwa vyetu ya kutosha, na hatujatumia raslimali zetu mbalimbali vya kutosha! Imagine siku tukiweza kutumia uwezo wetu hata kwa asilimia 50 tu!
 
Naaah...we are too poor and that will be too much for us to think about when we have a gazillion of pressing issues.

Nyani Ngabu, I do not agree with you at all that we are poor to undergo such a project. Ninachokubali ni hiki, kuwa tuna tatizo kubwa la kuwa na viongozi wenye ufinyu wa vision, they lack thrust and dedication towards leaving a long lasting legacy after expiry of their tenor. Viongozi hawafikirii vitu vikubwa, viongozi ambao hawaelewi kwa nini Watanzania ni maskini. Fikira waliyonayo ni kunemesha watu na familia/jamaa zao tu.
Nasema hivi tusipoanzisha mapinduzi ya kifikra ya kila mmoja wetu mpaka viongozi wetu tutaendelea kuwa hohehahe ndani ya utajiri wetu unatuzunguka.
 
Daraja la kutoka Magogoni hadi Kigamboni ambapo hata umbali wake haufiki kilomita moja, limetushinda.Viongozi wetu hawana uzalendo, dira wala dhamila ya kuleta maendeleonchini.

Angalia nilipoweka rangi! Hapa NDIPO YOTE YALIPO. Uthubutu wa kufiri MBALI HAUPO. Wanafikiria kuneemesha matumbo yao na namna gani WAIBE ili wazidi KUBAKI madarakani. Miradi kama huo inahitaji UTHUBUTU na KUJITOA! Fikiria: Rais ANAPOTANGAZA kumfukuza Askari aliyetinga DISCO na silaha na Waziri wa Ujenzi ANAPOTANGAZA wafanya biashara watoke kwenye hifadhi ya Barabara, wakiwa kwenye mkutano,ATAFIKIRIA kuanzaisha mchakato wa Ujenzi wa daraja kama hilo?
 
wewe si injinia tusaidie basi kupata hizo details maana naona unazing'ang'ania kama kiranga ila mnataka kutafuniwa

Sio tunataka kutafuniwa, tunataka kupewa cha kutafuna

Hata huyo injinia hupewa data za msingi kama bajeti na properties za eneo husika
 
Sio tunataka kutafuniwa, tunataka kupewa cha kutafuna

Hata huyo injinia hupewa data za msingi kama bajeti na properties za eneo husika

Sawa nimekuwekea wewe na Kiranga 'details' za 'Zanzibar Channel' hapo juu, zitafuneni sasa
 
Nyani Ngabu, I do not agree with you at all that we are poor to undergo such a project. Ninachokubali ni hiki, kuwa tuna tatizo kubwa la kuwa na viongozi wenye ufinyu wa vision, they lack thrust and dedication towards leaving a long lasting legacy after expiry of their tenor. Viongozi hawafikirii vitu vikubwa, viongozi ambao hawaelewi kwa nini Watanzania ni maskini. Fikira waliyonayo ni kunemesha watu na familia/jamaa zao tu.
Nasema hivi tusipoanzisha mapinduzi ya kifikra ya kila mmoja wetu mpaka viongozi wetu tutaendelea kuwa hohehahe ndani ya utajiri wetu unatuzunguka.

I was just being sarcastic there.
 
Tukiwa bado katika hii Miradi. Nakumbuka ujenzi wa uwanja wa Kirumba, Mwanza.

Uwanja huu ulijengwa kwa michango ya watu na charisma ya viongozi waliokuwepo Mwanza. Na wengi wao hawakuwa na elimu kama yetu ya kutaka estimations and feasibility studies.

Wakati watu wa Mwanza waliweza kufanya hivyo, watu wa jijini DSM walishindwa mpaka serikali ilipojenga uwanja miaka ya karibuni. Ukichukulia kuwa DSM ina taasisi zote za kiufundi, uongozi na mambo mengi kuliko Mwanza, utaona kuwa DSM watu hawakuwa bold pamoja na kuwa na resources nyingi.
 
Of course, sijasema tu tujenge kwa ajili ya mapambo! La kwanza ni je ina maana kuunganisha? Well hili ni swali ambalo naamini linaweza kujibiwa in the affirmative. a. Je kuna watu wa bara na Zanzibar wanasafiri mara kwa mara kati yao? Kuna nini bara au Zanzibar ambacho kinaweza kufaidika kwa kuwepo kwa daraja la kudumu? b. Daraja la Kigamboni halijengwi kwa fedha za "NSSF" tu; kumbuka NSSF siyo taasisi "binafsi" bali ni taasisi ya umma. Na haijengi daraja kutokana na maamuzi yake yenyewe bali kutekeleza sera ya muda mrefu ya CCM ya kuunganisha Kigamboni. Je, kuna ulazima wa kujenga daraja la Kigamboni wakati kuna pantoon na kuna uwezo wa kupita nchi kavu - japo kwa kuzunguka - kufika huko? c. Je kuiunganisha Zanzibar kunaweza naamini kuvunja sana fikra za "ukisiwa" na kutengana ambazo zimekuwa zikilazimishwa sana. As a matter of fact naamini kujengwa daraja kutafisha fikra hizo kwani za hii mentality ya kujitenga inachangiwa sana na hizi hisia za ukisiwa.
...Norway and Australia have a lot of [fast] ferries. You know what i mean.
 
Mitanzania itakwenda kupanga nyanya darajani kama lile la manzese, daraja litakufa kwa acid tu ya nyanya na ndimu. Bado huko. Waweke la kawe tu (old Bwagamoyo road) kwanza linatusumbuwa kwa foleni, wewe unasema la Unguja? unavuta eeenhh?
...Ha ha ha ha haaaaaah!
 
Daydreaming as usual! Pondering such a grand project amid doctors demand for better emoluments is in itself empty-headedness.
 
Back
Top Bottom