DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
TAZARA ilijengwa ili kuepuka kutumia Bandari za South Africa, enzi hizo zilikuwa chini ya Apartheid regime.It was more political than economical.Sometimes, ili kulinda heshima unachukua maamuzi ambayo sito feasible... but now that SA is cool, TAZARA inakuwa haina significance kwa sana, but that was a nice move, we(as frontline states) didn't want to trade with SA.

Kobello,

Are you sure what you are talking? Au unasema vile ulivyofundishwa darasani?
 
Ubishi mwingine huwa hauna nguvu kabisa. Yaani daraja lijengwe bila kujua kama litakuwa na manufaa gani.
Mimi nilidhani hii mada ipo kuprovoke uimara wa muungano, kumbe watu wanataka lijengwe kweli?
Get outta here!!!!

Hiyo conclusion ya kuwa uamuzi wa kujengwa daraja umeshafanywa bila hata kujua manufaa yake inatoka wapi?
 
Fear factor is a major problem among us. But until we break it we can't make any major progress.

Who dares wins!

Yes, who dares wins and fortune favors the braves. Nikiwa shule kulikuwa na studies kuonyesha kuwa waChina hawawezi kwenda angani. Haikupita mwaka wakaenda.
 
Fear factor is a major problem among us. But until we break it we can't make any major progress.

Who dares wins!

He who dares wins, lakini si ku dare kuruka kutoka roof ya PPF Towers huku ukiimba "I Believe I Can fly" bila calculations zozote za aerodynamics wala tools zinazotakiwa kwa skydiving.

Utaangukia pua upasue kichwa!
 
Both mkuu!

Ujenzi wa kujenga reli ulikuwa kwenye agenda za TANU za kudai uhuru. Na tulipopata uhuru tu Nyerere na Kaunda walianza juhudi za kutaka kupata mikopo, misaada na mambo mengine ya kiufundi ya kujenga reli. Na wakati huu Nyerere alikuwa hana uhusiano na China, na juhudi za kupigania uhuru wa nchi za kusini zilikuwa hazijaanza.

Hivyo kwanini useme kuwa reli ilikuwa ni kwa ajili ya SA?
 
Hakuna ubaya wa kutoa wazo lakini tunapojadili wazo kubwa kama hilo tunatakiwa kuangalia details kwa kina ili isiwe kama kusadikika

wewe si injinia tusaidie basi kupata hizo details maana naona unazing'ang'ania kama kiranga ila mnataka kutafuniwa
 
Watu wanataka nitty-gritty details hapa as if mradi ni official.

general data tu, halafu hizo anecdotal accounts ndizo zinaipa nguvu motion kama iko worthy kupelekwa mbele au ni alinacha tu.
 
wewe si injinia tusaidie basi kupata hizo details maana naona unazing'ang'ania kama kiranga ila mnataka kutafuniwa

Nyie watu wa ajabu sana.

Nyie mnatetea kujengwa daraja msilojua lolote kulihusu, watu wanakuja kuwaomba general data zitakazo support kujengwa daraja, mnawaambia wao ndio watoe data.

You are joking right?
 
general data tu, halafu hizo anecdotal accounts ndizo zinaipa nguvu motion kama iko worthy kupelekwa mbele au ni alinacha tu.

Hivi hizo general data unazozitaka wewe huwezi kuzipata? Niliona mahali ulizungumzia kutumia Google kuzipata. Wewe huwezi kuzitafuta ukazileta hapa tukazijadili?
 
Watu wanataka nitty-gritty details hapa as if mradi ni official.

Unajua Muungano ukivunjika, Tanganyika itabidi imwite Karl Peter baba wa taifa. Ukisoma historia yake na jinsi alivyoanzisha koloni, utaona kuwa vitu vingine tunashindwa kwa sababu hatuna guts tu.
 
Watu wanataka nitty-gritty details hapa as if mradi ni official.

Trust me nitty gritty zitakimbiza watu hapa kama formula za Roger Penrose katika "The Road To Reality".

Hapa tunataka general data tu kama nilivyosema hapo juu.

Tatizo mie ninachoweza kuona general idea wewe utaona nitty gritty.

Which shows me wengi hatuna attention to details!
 
Of course, you are a different breed. So nitty-gritty kwangu kwako pengine hata si general data. You can take that.

Lakini kama hizo data ni general kihivyo basi hata wewe unaweza ukazileta hapa na kusema kulingana na A,B,C,D, etc. huo mradi haufai. Au huwezi kabisa kuzileta hapa?
 
Inabidi tumuombe moderator afungue forum ya Be Bold. Hili watu wazungumze vitu vikubwa, ndoto, na visions.
 
Hiyo conclusion ya kuwa uamuzi wa kujengwa daraja umeshafanywa bila hata kujua manufaa yake inatoka wapi?
Umeona wapi neno uamuzi?...
Hizo ni ambitions za kutaka kujenga roller coaster (even a ferris wheel) uani wakati hata fedha za kuwasomesha watoto huna.
Kwanini tujenge daraja kwenda unguja? Kwanini?
Hilo la kigamboni tu linatutoa jasho.
Hatuwezi hata kuunganisha Kigoma-Kalemie ili tuunganishe Indian na Atlantic oceans.
 
Back
Top Bottom