DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

DOKEZO Responded Zanzibar iungwe na Bara kwa Daraja - Wazo Jipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hata tukiwa na madaraja 100,000 yasiyo na mafanikio ya kiuchumi, hii si sababu ya kuongeza lingine.

Pengine itakuwa ni sababu ya kuyapunguza.

Kwa hiyo wewe umeshahitimisha kuwa hilo daraja (ambalo hata halipo) halina/ halitakuwa na mafanikio ya kiuchumi?
 
Muungano wenyewe sasa hivi unatumia ARV kuongeza urefu wa maisha. teh teh teh Hilo wazo japo ni zuri hata bila muungano kuna upande utapinga kwa nguvu zote.
Pamoja na fikra za kimaendeleo za Mwanakijiji, naamini hili wazo litapingwa na Wazanzibari wengi. Tunapoizungumzia Zanzibar tunazungumzia visiwa 2 vya Unguja na Pemba. Kuiunganisha Pemba na Tanga, Unguja na Bagamoyo (labda) itatafsiriwa na Wazanzibari wengi sawa na kuvitenganisha visiwa vyao au kutekwa nyara na Tanganyika, labda kama hayo madaraja yangeanza kuziunganisha Unguja na Pemba kwanza.
 
Tukiweka daraja kesi itapelekwa wapi sasa maana ile ya kutumia bahari ilipelekwa UN.
 
Kiranga,Zakumi,Companero,Nyani Ngabu,jmushi1,

..nadhani Mwanakijiji is daring wa-Tanzania to think big and come up with an ambitious project itayatukwamua toka hapa tulipo.

..nakumbuka kusoma kuhusu jinsi gani mradi wa interstate highways za USA uliovyosaidia ktk kukuza biashara na uchumi wa Marekani.

..wa-Tanzania na sisi tunatakiwa tuibue mradi mkubwa ambao utasaidia kuinua sekta nyingine hapa nyumbani.

Jokakuu,

To say that I love bold ideas is understatement. I am grandiose and a winner. Hivyo nisingependa miradi yenye ku-fail.

Kwa sasa hivi Tanzania inatakiwa ichukue miradi mikubwa ambayo inaweza kufanikishwa katika kipindi cha miaka miwili au mitatu. Na miradi hii ifanyike kwa uwezo wa watanzania na katika kipindi kilichopangwa.

Hivyo basi miradi yote ambayo inawezekana lakini failure rate yake ni kubwa nisingependa ku-entertain. Sababu ni kuwa morale ya watanzania na imani yao kuhusu serikali ni ndogo sana. Kwa mtaji huu ningependa ifanyike miradi ambayo itafanikiwa na kukuza morale.

Kama ningekuwa na nafasi ya kuongoza nchi, Ningeakikisha miji kama DSM, Mwanza, Arusha zinakuwa na light-railways za usafiri wa mijini na kupunguza mabasi na vipanya.

Vilevile ningeakikisha nchi ina integrated Railway Network. Hivi ni vitu vinawezekana. Na ni mpango wa miaka chini ya mitano tu.
 
Tukiweka daraja kesi itapelekwa wapi sasa maana ile ya kutumia bahari ilipelekwa UN.

Hahahaha, mkuuu mi nashangaa watu wanashadadia daraja la muungano wakati muungano wenyewe uko ICU!!

Nimewauliza hapa muungano ukivunjika nani atalipa deni? Kuuliza prenup si kukosa mapenzi, ni kujiandaa tu.
 
Kwa hiyo wewe umeshahitimisha kuwa hilo daraja (ambalo hata halipo) halina/ halitakuwa na mafanikio ya kiuchumi?

To the contrary, nimeomba data tu.

Na the underlying message hapo ni kwamba "two wrongs do not make a right". Hata kama kuna madaraja yaso ufanisi lukuki, hili halisababishi tukubali lingine liso ufanisi.

Kitu kitakachohalalisha daraja ni ufanisi, ambao haujaoneshwa mpaka sasa hivi.
 
Wewe unaomba data ambazo haziwezi kupatikana sasa hivi. Ingekuwa mchakato wa kweli umeshaanza hapo maombi yako yangekuwa na maana zaidi.

Sasa hapa unaomba mechanical na technical details wa jambo ambalo hata kwenye karatasi halipo zaidi ya kuwepo kwenye kichwa cha Mwanakijiji.

Btw, data za lile la Kigamboni ushaziomba? Lile mchakato wake ushaanza, kama ulikuwa hujui.
 
Hahahaha, mkuuu mi nashangaa watu wanashadadia daraja la muungano wakati muungano wenyewe uko ICU!!

Nimewauliza hapa muungano ukivunjika nani atalipa deni? Kuuliza prenup si kukosa mapenzi, ni kujiandaa tu.

Muungano ukivunja serikali mbili zote zitalipa deni; hilo linatakiwa kuwekwa bayana kabla ya ujenzi kuanza
 
Kabla ya daraja. kwanza wangeirudishia Zanzibar kuwa Free Port na kuwa kama ilivyokuwa historically na kabla ya Uhuru.

Saa hizi uweke daraja likabebe nini? mashokishoki na matofah ya kiunguja?

Kwanza Free port, daraja liwe bize kwenda kuchukuwa bidhaa za transit goods.

Nyie CCM, hebu ifanyeni Zanzibar iwe Dubai ya Afrika kama ilivyokuwa enzi hizo.
 
To the contrary, nimeomba data tu.

Na the underlying message hapo ni kwamba "two wrongs do not make a right". Hata kama kuna madaraja yaso ufanisi lukuki, hili halisababishi tukubali lingine liso ufanisi.

Kitu kitakachohalalisha daraja ni ufanisi, ambao haujaoneshwa mpaka sasa hivi.

Nani anayepaswa kuonesha ufanisi wa hilo daraja nililopendekeza?
 
Will be the biggest bridge to nowhere.

You do yourself a bigger economic favor by spending a fraction of that money to add one lane to the Dar - Mwanza trunk road.

I mean, Zanzibar economy is not even on par with a district economy like Kahama's.
 
Wewe unaomba data ambazo haziwezi kupatikana sasa hivi. Ingekuwa mchakato wa kweli umeshaanza hapo maombi yako yangekuwa na maana zaidi.

Sasa hapa unaomba mechanical na technical details wa jambo ambalo hata kwenye karatasi halipo zaidi ya kuwepo kwenye kichwa cha Mwanakijiji.

Btw, data za lile la Kigamboni ushaziomba? Lile mchakato wake ushaanza, kama ulikuwa hujui.

Data ninazoomba mie kwa mtu serious anayetaka kupendekeza hili anapata kabla hata ya kupost JF, yaani hata vitu general tu, kina kirefu kabisa kwa path ya kutoka Mbweni mpaka Fumba ni kiasi gani, tutajenga daraja la aina fulani, ambalo mfano wake ni kama lilojengwa sehemu fulani, gharama yake kiasi fulani, tutapeleka Zanzibar bidhaa fulani, tutachukua Zanzibar bidhaa fulani (karafuu?) tutalipisha toll kiasi fulani, kutakuwa na magari fulani kwa mwaka, ukarabati wa kugharimu kiasi fulani utahitajika kila mwaka na tutachukua miaka fulani kurudisha fedha.

Umesha justify feasibility study watu waende kukokotoa zaidi figures zako.

Sasa hapa hatuna hata feasibility study ya google ya ku justify feasibility study halisi.

Vogon poetry na Borg-like choruses tu!

Yote eti katika jina la feel good therapy thinly disguised as audacity of hope, minus the analysis and data of course.

kama mambo yenyewe ni kupendekeza vitu bila data kwa nini usipendekeze space program kabisa, tupeleke Rover yetu Mars?
 
Ubishi mwingine huwa hauna nguvu kabisa. Yaani daraja lijengwe bila kujua kama litakuwa na manufaa gani.
Mimi nilidhani hii mada ipo kuprovoke uimara wa muungano, kumbe watu wanataka lijengwe kweli?
Get outta here!!!!
 
Ukweli wa mambo, kwa ukubwa wa Tanzania bara, diversity ya resources zake, na population naona tukubali kuwa tu nchi imeshindwa to live to its potential.

Ukisoma ujenzi wa reli ya TAZARA utoana kuwa waChina hawaku na economic gain yoyote zaidi ya kujitangaza kisiasa kwa nchi za dunia ya tatu. Wakati waChina wanajenga TAZARA, per capital ya Somalia ilikuwa juu kuliko China.

Lakini kwa sababu walikuwa bold naona waliweza kufanikiwa.
 
TAZARA ilijengwa ili kuepuka kutumia Bandari za South Africa, enzi hizo zilikuwa chini ya Apartheid regime.It was more political than economical.Sometimes, ili kulinda heshima unachukua maamuzi ambayo sito feasible... but now that SA is cool, TAZARA inakuwa haina significance kwa sana, but that was a nice move, we(as frontline states) didn't want to trade with SA.
 
Ukweli wa mambo, kwa ukubwa wa Tanzania bara, diversity ya resources zake, na population naona tukubali kuwa tu nchi imeshindwa to live to its potential.

Ukisoma ujenzi wa reli ya TAZARA utoana kuwa waChina hawaku na economic gain yoyote zaidi ya kujitangaza kisiasa kwa nchi za dunia ya tatu. Wakati waChina wanajenga TAZARA, per capital ya Somalia ilikuwa juu kuliko China.

Lakini kwa sababu walikuwa bold naona waliweza kufanikiwa.

Fear factor is a major problem among us. But until we break it we can't make any major progress.

Who dares wins!
 
Back
Top Bottom