Suala la kina linakuja kwenye feasibility study. Baada ya kutoa wazo bila details za kutosha wazo linakibaliwa kwanza. Likishakubaliwa kinachofuata ni kufanya feasibility study kuona kama mradu unawezekana au la. Hapa ndipo possible points za dara zitaangaliwa, hapa ndio mkondo wa maji na kina vitaangaliwa na ni hapa suala la economic sense litaangaliwa. Feasibility study itatuonesha kama wazo lenyewe linatekelezeka. Kwa mfano wazo likiubaliwa na wakuu wakanihire niwaandikie concept paper nitajibu baadhi ya hoja hizi. Wazo kama hili lnakataliwa kwa kuonesha haliwezekani siyo kwa kutolewa. Na ili lioneshwe haliwezekani au halifai kwa nchi kama ya kwetu serikali inafanya feasibility study. Hivi ndivyo tulivyofanya kwenye Stielger 's Gorge.
Feasibilityy study yenyewe ina gahrama zake ambazo unaweza kuziepuka kirahisi kwa kujua kitu kidogo kama kina.
In other words, feasibility study yenyewe inaangaliwa kama ipo feasible.
Mtu unataka kwenda mwezini hujui hata umbali wa safari ni mkubwa kiasi gani, huwezi kufanya a realistic project.
Unaweza kujiingiza katika mikataba ya feasibility study mikubwa na makampuni ya kiinjinia, kuwalipa watu waje kufanya sonar testing kujua ramani ya 3d ya seabed, wakati kumbe ungeangalia marine charts tu ungejua kuwa hapa kuna kina kirtefu na daraja la dola bilioni hata tano haliwezekani, unakwepa gharama kwa kuwa na info ndogo tu, hata feasibility study kamili huhitaji.
Usitake ku mention Stielger's Gorge Project on the same breath na hili daraja, we have a great need for electricity, the country over. Lakini hata hilo nalo watu wengine wame raise reservations over environmental impact. Hapo ndipo utakapoona hizi project kubwa hazitaki kukurupuka, hata zile ambazo zina a clear demontstrable justification.
Hili daraja kuna watu wengine watakwambia ni a white elephant vanity project. Prove them wrong with details. If you don't, yopu make their case, watasema hata advocate wa daraja hawawezi kulitetea kwa details.
Na kusema utawaandikia wakikuhire, maana yake utaandika objectively hata ukikuta kuna Mariana Trench-like deppth katikati hapo? Au utakuwa unaandaa massaged data kama economic hitman wa CIA under the cover of World Bank anayetafuta kutuzidishia mikopo yenye riba za ki Shylock kuhakikisha mpaka vitukuu vya vitukuu vyetu vinakuwa tegemezi kwa mfumo huu wa ukoloni-mamboleo-mamboleo?