Yesu hakuwahi kuingia kanisani
zaidi ya Kwenye Masunagogi
Ungekuwa msikiti ungebomolewa?Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi
Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli
Zanzibar hawapendi ujinga
Hawataki kanisa.Sababu iliyotajwa ya kuvunjwa?
Zenji mabwabwa wengi na masikini wamejaa, hawana elimu, kawaida yao hiyo kuharibu vitu vya watu, ni wivu
Hapo Sasa si inabidi mamlaka ichukue hatua na sio watu kwenda kuvunja?Twende mbele na turudi nyuma.
Haya makanisa ya TAG si ndiyo Yale ya kupiga mziki mnene masaa yote bila kuheshimu Uhuru wa watu wengine?
Watu wako watano kanisani lkn wameweka ma Ndugai huko nje.
Wanapiga mziki wakati Kuna watoto na magonjwa wamepumzika?
Lkn pia Huyo muchungachi alikua na leseni ya kuendesha Hilo kanisa hapo au watu mnalaumu tu.
Kanisa lenyewe la walokole aacha kabsa hata mimi ningeshiriki japo ni mkristoMm Ni mkiristo sioni sababu huyo mtumishi kwenda kufanya ujenzi ktk maeneo ya wanao ishi waislmu yaani unakwenda uarabuni kufungua kanisa hapan aise. usijaribu Imani za watu haondoke Hapo kbsa Tena ashukuru ajapigwa kipigo kikali mnk hvyo yey ndie mchokozi ..watu wasitafute usaw wa kidini hapa
Kenya umewahi sikia muslami kaw rais au hata kiongoz mkuu hkn hvyo vitu sas na huku iwe Hvyo uwez kwenda kufanya ibada Zanzibar Tena siku hz wamestarabika zamani waliwamwagia tindikali .....
Ungekuwa msikiti ungebomolewa?
Wacha kushabikia upuuzi.
Wavaa kobazi a.k.a akina yakhee
Kwani Yesu alikuwa fundi ujenzi?Nitajie kanisa lililowahi kujengwa na Yesu japo moja tu.
Umewahi kufika huko ULAYA??Mbona waislamu wana misikiti ipo Ulaya na Marekani na maeneo yenye wakristo wengi na hakuna mtu anawabugudhi
Hata hapa Tanzania bara maeneo ya wakristo wengi misikiti ipo na hakuna mtu wa wakubugudhi
Waislam walikuwa wanateswa sana kipindi cha Magufuli kuanzia Ajira na vitu kibao. Zamu yao sasa, siku nyingine tujifunze kubalance.Sikumbuki kama kipindi cha jiwe iliwahi kutokea hili!
Yale yale ya enzi za JK yanarudi
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
misikitini hakufanyiki utapeliUngekuwa msikiti ungebomolewa?
Wacha kushabikia upuuzi.
Nyie watu mbona wasahaulifu hivyo? wakati mungu wenu jiwe anapigiwa kelele awatoe uamsho mlisema sio yeye aliyewafunga jela haya tuambieni ni nani aliwatia ndani uamsho?Huwa ni kawaida mtu wao akiwa rais.
Kipindi cha awamu ya 2 na ya 4 makanisa mengi nchini kote yaliteketezwa Kwa moto na hakukuwa na hatua zozote zilizochukuliwa!
umesoma post namba 71?Kwani lengo la kufungua kanisa ni nini??unadhani hapo kulikuwa hakuna watu wanaoenda kusali??