Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Waislam walikuwa wanateswa sana kipindi cha Magufuli kuanzia Ajira na vitu kibao. Zamu yao sasa, siku nyingine tujifunze kubalance.
Kwani ajira huwa zinatolewa bila kuwa na sifa husika ya taaluma? Usomee ualimu halafu ukapewe Dr wa upasuaji?
 
Nyie watu mbona wasahaulifu hivyo? wakati mungu wenu jiwe anapigiwa kelele awatoe uamsho mlisema sio yeye aliyewafunga jela haya tuambieni ni nani aliwatia ndani uamsho?
Kwani yeye ndiye aliwaweka ndani uhamsho?
 
Huez kijenga nyumba ya ibada mahala popote unapojisikia,dini ya islam ilikuja miaka mingi mbele ya dini mnayoita ukristo ingekuwa inaogopa competition isingezaliwa,tumia akili ktk kufikiri!!
Acha uongo wewe
 
Hilo kanisa la TAG kuvunjwa Raisi Mwinyi wa Zanzibar alitolee tamko la kueleweka haraka

Ni jambo zito mno

Wafadhili ulaya na Marekani wanasubiri tamko la Serikali ya Zanzibar
 
Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Kwanini wasinshtaki badala ya kuchukua sheria mkononi? Mbona sheria inayozuia kelele kwenye makazi ipo.

Zanzibar na uislamu wao iko siku.
 
Ujerumani ya kwenye play station au Ujerumani ipi hiyo?
 
Kwanini wasinshtaki badala ya kuchukua sheria mkononi? Mbona sheria inayozuia kelele kwenye makazi ipo.

Zanzibar na uislamu wao iko siku.
Hawana uislam wowote,
Wahuni Tu.

--Sehem ambayo mabinti wanachunga zaidi bikira ya mbele kuliko matakoni kuna uislam gani?

--Sehem ambayo kwenye vijana wa kiume 10 vijana 4 mashoga kuna uislam gn?

Waache uhuni wa kuchomea watu nyumba za ibada kwa kichaka cha uislam.

Dini ya Islam ni Amani.
Na inaheshimu dini za watu wengine.
 
Niliiona jana hii habari, sema Wahusika wametulia kwa sababu wanajua walichokuwa wakifanya sio sahihi

Huwezi ukaejenga makanisa na kwenye makazi ya watu na kuwapigia kelele usiku kucha kwa miujiza ya kitapeli

Zanzibar hawapendi ujinga
Kwako wewe ukristo ni ujinga?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Huez kijenga nyumba ya ibada mahala popote unapojisikia,dini ya islam ilikuja miaka mingi mbele ya dini mnayoita ukristo ingekuwa inaogopa competition isingezaliwa,tumia akili ktk kufikiri!!
Dini zingine hazina tofauti na Ke aliyeumbwa baada ya Adam na kutaka kujitutumua kuwa sawa na Adam kwa ujinga wa haki sawa za 50 kwa 50. Sasa dini ilikuwepo zaidi ya miaka 600 huko, afu unakuja upumbavu kuwa huwezijenga kanisa kwenye eneo la dini flani, inamaana Wakristo wasingeruhusu uhuru wa dini zingine si ingekuwa dini ya Kikristo pekee inayoabudiwa duniani kote?
 
Ndiyo yaliokuwapo kipindi hicho, tafuta maana SINAGOGI, na kanisa lilikuwa bado kuanza
Hayo majamaa mapumbavu sana, yanashindwa kuelewa tafsiri za maneno ya kiswahili kwa zama hizo yalikuwa yanatungwa na Waarabu ndiyomaana Kanisa liliitwa Sinagogi sababu bado kiswahili kilikuwa hakijakua ktk ubora wake sawa na zama hizi?

Mawatu mengine bhana ni tabu tupu kujitambua yakishakaririshwa ujinga wa hadithi za vijiweni.
 
Kuhusu kuvunja kanisa siafiki kabisa sio jambo la kiungwana na ni kinyume na sheria za nchi, lakini pia ichunguzwe sababu maana kupigia watu kelele sio jambo la kistaarabu, kama aliefikwa na jambo hili alikuwa anawapigia watu kelele usiku kucha kama baadhi ya makanisa huko bara sio jambo zuri
 
Habari za uongo Tu.
Hakuna kanisa linapiga Kelele usiku kucha.

Wazanzibar ni wabaguzi wa dini na utaifa.
 
Yaani mtu akuzidi miaka 590 halafu mtu anajimwambafy sie tulitangulia daa wakati unajiuliza naongea na mtu au picha ya mtu! Na hapo baada ya kafariki ikapita miaka 557 useme tulitangulia kama si ku copy na ku paste!
 
Wewe sio mkristo..wewe ni moja ya wapumbafu..acha injili ihubiriwe mpepo na mshetwani yawatoke..unafiki tu ndio ulowajaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…