Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

Hiyo misikiti na makanisa yanayojengwa katikati ya makazi hapa dsm umeiona..au kwakuwa ni zenji ndio unaona sio sawa kanisa kujengwa kwenye makazi yawatu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Waislam walikuwa wanateswa sana kipindi cha Magufuli kuanzia Ajira na vitu kibao. Zamu yao sasa, siku nyingine tujifunze kubalance.
Ndio kuharalisha uvunjaji wa makanisa?hii sio sawa.

#MaendeleoHayanaChama
 

Naona kuna tatizo hapa, masharti vigezo, desturi, imani na tamaduni haikuzingatiwa.

Unaweza kumiliki eneo lakini kuna masuala mtambuka ambayo mnunuzi hakuyazingatia akayaona ni mepesi, kumbe kuna mengine hayaandikwi lakini yanafuatwa na jamii husika wakaazi wenyeji wa mwanzo kabisa .
 
Injili itahubiliwa mataifa Kwa mataifa na hapo kila MTU akishahubiliwa na kuskia neno la mungu ndipo mwisho wa dunia hii utakapofika.

Hapo kuna Vita ya kiroho inaendelea na watumishi wa mungu Kwa msaada wa roho mtakatifu watashinda hio Vita.
 
Mkuu sinagogi ni msikiti wa wayahudi.

Sio kanisa.
 
Kama ardhi ni Mali ya serikali.

Mwanainchi wa kawaida hana mamlaka ya kumpangia mwenzie cha kufanya.

Waache ubaguzi wa dini na utaifa pia.

Huyo angekuwa mkristo lakini asili yake sio bara wala wasingethubutu kumsogelea.

Wazanzibar ni wabaguzi.
 
Kama ardhi ni Mali ya serikali.

Serikali inaongozwa na watu, ila watu hao wana imani, desturi, tamaduni pia taratibu zao hivyo mtu makini hawezi kupuuza yale ambayo hayajaandikwa katika katiba.

 
Yaani mtu akuzidi miaka 590 halafu mtu anajimwambafy sie tulitangulia daa wakati unajiuliza naongea na mtu au picha ya mtu! Na hapo baada ya kafariki ikapita miaka 557 useme tulitangulia kama si ku copy na ku paste!
Hivi Yesu aliposema ''

Sikuja kutengua torati,
Bali kuitimiliza ""

Alimaanisha nini?

Ndy ujuwe kama dini ilikuwapo na mitume ilikuwapo/vitabu vya dini pia vilikuwapo kabla ya Yesu kuja duniani...

Au na Yesu alicopy?

Je hao waliokuwapo kabla ya Yesu kusulubiwa hawakuwa wakristo?
Au walikuwa dini gn?
 
Mkristo wa wapi wewe? Kwa hiyo kama wewe umezaliwa mkristo, ukaenda kwenye uislam inabidi uhamie msikitini?
Hon siwez kuami ila nitafanya utaratibu mwingine wa kuabudu

Mim nimewai kufungua biashar ya kitimot Hapo singida nyum ya msikit mkuu sijui ila yaliyonitokea siyo poa
 
Mbona waislamu wana misikiti ipo Ulaya na Marekani na maeneo yenye wakristo wengi na hakuna mtu anawabugudhi

Hata hapa Tanzania bara maeneo ya wakristo wengi misikiti ipo na hakuna mtu wa wakubugudhi
Siyo watu wote Ni waelewa hasa waisalamu hawaelewi lolote wanajiona wao ndio din sahih ulaya na huku tofauti Sana Tena Zanzibar huku bara hatuna shida nao kbsa
 
Hata kule kwetu meru Happ kwa mrefu Arusha kulitokea mwarabu mmoja kanunua sehemu wakapewa kbsa akaanza kujenga tank la maji badae akamaliza na msikiti mdg fln HV wananchi wa pale wengi ni wakristo basi asbh namapema Sana iliisikika adhana saa kumi na moja watu wote tulimkaah kutazam hyo kelel inatokeaa wapi .watu wakapandisha kumfata na kuelezwa kwamb ikifika saa sita kamili za mchana huo mskiti usionekane hapo au wasisikie kelel zozote za adhna ..msikit ulikufa palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…