Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Zanzibar to build Africa’s 2nd tallest skyscraper and largest hotel in East and Central Africa

Zanzibar. Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago. When completed, the 70-floor commercial tower will be the tallest skyscraper in East and Central Africa, and second tallest in Africa, behind Egypt’s The Iconic Tower.

Sijui, akili bado timamu? Ghorofa 70 Zanzibar? Basi wakitaka kuua uchumi wa utalii, waongeze ghorofa!
Nani anatumia pesa yake kuona ghorofa 70 Zanzibar? Anayetaka kuona ghorofa, ataenda Dubai au Shanghai. (angalau hataogopa kuingia kwenye lifti pale).

Mtu anayependa kuona mji wa kihistoria mwenye majengo ya pekee ataenda tena Zanzibar ?? Kama uso wake umechafuliwa na ghorofa sawa na zile zinazopatikana mahali pengi dunia?
 
Hii huenda ikawa ni habari mbaya kwa majirani zetu wakenya ambao kila siku wako busy kujitamba humu JF na vitu vidogo vidogo (kama ujenzi wa maghorofa) dhidi ya Tanzania. Usishangae wakenya wakaanza kusema Zanzibar iko Kenya na hilo jengo linajengwa Mombasa.
 
Kuongeza utalii Ni kuongeza umalaya na familia za mzazi mmoja.
Zanzibar ya leotofautikabisa na ya miaka ya 90.
Enzi zile Malaya unamtongoza. Leo hii Hadi ma chele unanyanyua kidole yanakuja kumi.
 
Naomba kuwapongeza na kuwatakia yaliyo mema katika utekelezaji wa mradi huo.
 
Back
Top Bottom