TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kabla ya kukusaidia, jiulize hotel verde walitoa wapi mchanga?.Hebu tusaidie mchanga watauzalishaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kukusaidia, jiulize hotel verde walitoa wapi mchanga?.Hebu tusaidie mchanga watauzalishaje?
Sio la serikaliKwanini wasijenge vinu vya nyukilia kwa ajili ya kufua umeme....huu umeme wa kutoka bara ambao kuulipia hadi wapigiwe magoti siku ukikatwa!
Zanzibar wanao mpango wa kujenga off shore wind farms kuzalisha umeme. Siku siyo nyingi Zanzibar itauza umeme Tanganyika.Kwanini wasijenge vinu vya nyukilia kwa ajili ya kufua umeme....huu umeme wa kutoka bara ambao kuulipia hadi wapigiwe magoti siku ukikatwa!
Hehe nyumbu bhana.Hueleweki
Una maana ya kumlinganisha na yule jamaa mwenye faili Mirembe?
Watajengea mavi ya mbuziMchanga hawana, sijui watajengea nini?
Hahaha yaani mkuu nilikua sijaona ulivomjibu... Mimi nilimjibu mavi ya mbuzi.Tutajengea Mavi
Mbona picha ni ya Domino Tower Saudi Arabia?Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70.
Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower na likitarajiwa kukamilika kwenye kipindi cha miaka minne na kutengewa dola za kimarekani, bilioni 1.3. Jengo litajengwa kwenye bahari kwa kutanguliwa na zoezi la kuweka mchanga(land reclamation).
Upande wa Serikali wamesema wameshamaliza majukumu yao na limebaki jukumu la muwekezaji kufanikisha mradi.
===========
Zanzibar to build Africa’s 2nd tallest skyscraper and largest hotel in East and Central Africa
Aug 24, 2021 12:00 PM
Zanzibar,
Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago.
The project developer, a joint venture of Tanzanian’ AICL Group and Edinburgh Crowland Management Ltd, yesterday signed a contract with New York and Dubai-based design architect company xCassia that will see the latter come up with architectural designs for what will be the largest hotel in East and Central Africa.
When completed, the 70-floor commercial tower will be the tallest skyscraper in East and Central Africa, and second tallest in Africa, behind Egypt’s The Iconic Tower.
Speaking during the signing ceremony, CEO of Crowland Management Ltd Dr Emmanuel Umoh said one of the objectives for the construction of the massive building was to support Zanzibar in the quest to build a strong blue economy.
“The building which will be called Zanzibar Domino Commercial Tower is expected to be one of the international iconic features, facilitating tourism, culture, and business opportunities,” he said.
The construction of the said project is expected to be in phases, to be undertaken in a period of four years, providing employment opportunities to locals.
Zanzibar’s minister of State, President's Office, Economy and Investment, Mudrik Ramadhan Soraga said the project is a big step toward building a blue economy and the government is inviting more local and foreign investors to the isle.
Founder and design director of xCassia, Mr Jean-Paul Cassia said the idea to construct the project has been a long one, it has taken nearly 15 years of discussions, environmental assessments, budgeting and accessing infrastructure.
Linked by a high and low bridge structure, the development is planned over three key sites: the Arrivals Plaza, Zanzibar Domino, and Island Resort, each with distinct identities and uses the guest experience pathway in a seamless curated journey from arrival to destination.
Mabati ni bahari mkuu.Hivi wameshaanza kuzungusha mabati kwa ajili ya ujenzi?
Mabati ni bahari mkuu.
Kabanwa vipi?.hiyo naona kama ilikua ni kiki tu, Mwinyi amekabwa koo na Ismail Jussa hana hata pakupumilia kwa sasa.
Heti hilo jengo atalijenga samia nikweli?Ni jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati na linatarajiwa kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye ukanda huu. Kampuni ya kitanzania ya AICL na Edinburgh Crowland wameingia makubaliano na msanifu wa majengo, xCassia kuja na jengo la ghorofa 70.
Jengo hilo litaitwa 'Zanzibar Domino Commercial Tower na likitarajiwa kukamilika kwenye kipindi cha miaka minne na kutengewa dola za kimarekani, bilioni 1.3. Jengo litajengwa kwenye bahari kwa kutanguliwa na zoezi la kuweka mchanga(land reclamation).
Upande wa Serikali wamesema wameshamaliza majukumu yao na limebaki jukumu la muwekezaji kufanikisha mradi.
===========
Zanzibar to build Africa’s 2nd tallest skyscraper and largest hotel in East and Central Africa
Aug 24, 2021 12:00 PM
Zanzibar,
Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago.
The project developer, a joint venture of Tanzanian’ AICL Group and Edinburgh Crowland Management Ltd, yesterday signed a contract with New York and Dubai-based design architect company xCassia that will see the latter come up with architectural designs for what will be the largest hotel in East and Central Africa.
When completed, the 70-floor commercial tower will be the tallest skyscraper in East and Central Africa, and second tallest in Africa, behind Egypt’s The Iconic Tower.
Speaking during the signing ceremony, CEO of Crowland Management Ltd Dr Emmanuel Umoh said one of the objectives for the construction of the massive building was to support Zanzibar in the quest to build a strong blue economy.
“The building which will be called Zanzibar Domino Commercial Tower is expected to be one of the international iconic features, facilitating tourism, culture, and business opportunities,” he said.
The construction of the said project is expected to be in phases, to be undertaken in a period of four years, providing employment opportunities to locals.
Zanzibar’s minister of State, President's Office, Economy and Investment, Mudrik Ramadhan Soraga said the project is a big step toward building a blue economy and the government is inviting more local and foreign investors to the isle.
Founder and design director of xCassia, Mr Jean-Paul Cassia said the idea to construct the project has been a long one, it has taken nearly 15 years of discussions, environmental assessments, budgeting and accessing infrastructure.
Linked by a high and low bridge structure, the development is planned over three key sites: the Arrivals Plaza, Zanzibar Domino, and Island Resort, each with distinct identities and uses the guest experience pathway in a seamless curated journey from arrival to destination.
Kazi ya feddha unaifahamu?Mchanga hawana, sijui watajengea nini?
Sio kosa lake hajui kazi ya fedhaMswahili lazima ufikirie vikwazo kwanza!
Kiutalii Zanzibar inapendwa zaidi ya bongo kwenye msongamano na kelele na uchafu kila pahalaHii ingependeza sana ingejengwa Dar.
Hayo ndio mane ya watu ngonja ng,ombe waje na chukia zaoMungu awasimamie na kuwabarikia maono na mawazo yao yakawe hivyo.
Kwani majengo ya kale yanavunjwa?![]()
Jengo la ghorofa 70 kujengwa Zanzibar
Zanzibar itaingia kwenye historia itakapokamilisha ujenzi wa jengo la ghorofa 70 ambalo litakuwa na huduma mbalimbali.www.mwananchi.co.tz
Zanzibar to build Africa’s 2nd tallest skyscraper and largest hotel in East and Central Africa
Zanzibar. Zanzibar has secured massive investment in a commercial tower that will completely change the face of the semi-autonomous Indian Ocean archipelago. When completed, the 70-floor commercial tower will be the tallest skyscraper in East and Central Africa, and second tallest in Africa, behind Egypt’s The Iconic Tower.
Sijui, akili bado timamu? Ghorofa 70 Zanzibar? Basi wakitaka kuua uchumi wa utalii, waongeze ghorofa!
Nani anatumia pesa yake kuona ghorofa 70 Zanzibar? Anayetaka kuona ghorofa, ataenda Dubai au Shanghai. (angalau hataogopa kuingia kwenye lifti pale).
Mtu anayependa kuona mji wa kihistoria mwenye majengo ya pekee ataenda tena Zanzibar ?? Kama uso wake umechafuliwa na ghorofa sawa na zile zinazopatikana mahali pengi dunia?