Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Kwanini wasijenge vinu vya nyukilia kwa ajili ya kufua umeme....huu umeme wa kutoka bara ambao kuulipia hadi wapigiwe magoti siku ukikatwa!
Zanzibar wanao mpango wa kujenga off shore wind farms kuzalisha umeme. Siku siyo nyingi Zanzibar itauza umeme Tanganyika.
 
Wanajenga baharini kabisa au ufukweni/pembezoni mwa baharini?
 
Hivi wameshaanza kuzungusha mabati kwa ajili ya ujenzi?
 
Mbona picha ni ya Domino Tower Saudi Arabia?
 
hiyo naona kama ilikua ni kiki tu, Mwinyi amekabwa koo na Ismail Jussa hana hata pakupumilia kwa sasa.
Kabanwa vipi?.
Unajua baada ya kifo cha Seif kwa siasa za Zanzibar bado hajapatikana mbabe mwingine wa vita za hapa?.

Huyo Ismail unayemsema ana nini cha kumshtua Dr, ambaye kwa sasa anapambana kuijenga Zanzibar, japo watu wanamchukia chini kwa chini kwa sababu ya kubana mianya yote ya upigaji na kuijenga Zanzibar ila Dr anachapa mwendo wewe, ahahaaa...

Late Magu alisema, msipomchagua huyu mtajuta...
 
Heti hilo jengo atalijenga samia nikweli?
 
Kwani majengo ya kale yanavunjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…