Zanzibar kujenga jengo refu zaidi Afrika Mashariki na kati, kubeba hoteli kubwa zaidi kwenye kanda

Naomba kuwapongeza na kuwatakia yaliyo mema katika utekelezaji wa mradi huo.
Watanzania wote tungekuwa na kauli za kutiana moyo kama hii mbona hata fukara angejiisi binadamu,lakini wapi chuki chuki chuki kutatishans tamaa ndio kazi yetu kubwa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji3581][emoji3581]
 
Majengo mengi hayajengewi mchanga yanatumia vyuma zaidi steel structures sio matofali na mchanga
Umesema kweli hapa nipo mwenge kalibu na mawasiliano kuna jengo lefu nadhani ndilo lefu kinondoni nzima mchanga umetumika chini tu kwenda juu chuma tu viooo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mavi yamekubana kitambo mwisho umeamua kuvua suruali na kunya hadharani
 
Hebu tusaidie mchanga watauzalishaje?
Hacha ushamba njooo hapa mwenge karibia na mawasiliano kuna jengo lefu ghorofa 34 njoo uone mchanga usivio kuwa na kazi kwenye ujenzi wa majengo ya kitajiri jengo lingine liko feri nenda kashangae mchanga unatumika sehemu chache sana hasa mwanzo
 
Angekuwepo, lingejengwa bara
Lingejengwa bara vipi kwa Magufuli alikuwa na akili kuliko wawekezaji kwanza alikuwa hawataki labda useme hivi lisinge jengwa,tajiri anayo akili zaidi ya rais
 
wapi tukalione
 
mambo mengne n kujitafutia mabalaa tuu ndani ya bahari?? Ina maana nchi kavu hawakuon??[emoji1787][emoji56][emoji39]
Ndio maana matajiri siku zote wanasema masikini hana akili
 
Eti miaka kumi na tano ya planning and budget assessment.

Kumbe ni zawadi kwa mama kwa kusaini mkataba wa DP

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…