implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kwani huyo Jamshid bado yu hai au atakuja kitukuu chake?!!Kwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huyo Jamshid bado yu hai au atakuja kitukuu chake?!!Kwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
Ana miaka 95, na probably ana dementia na alzheimer. Bado akina Mayor Quimby na Yoda wanamuogopaMiango sita! Jamaa atakuwa kwenye 80s au early 90s.
Wewe mwenyewe ni ASP, achana na vitu vidogo vidogo.Ujio wa Sultan Zanzibar uende sambamba na kufutwa neno MAPINDUZI kwenye utambulisho wa serikali ya Zanzibar, badala yake ibakia kutamkwa tu Serikali ya Zanzibar.
Kama tumeamua kuwa na mshikamano basi tuonyeshe kwa vitendo.
Ngoja tutulie, panapofuka moshi panaficha motonilikuuliza source ya hii habari sio fake news?。Mapendekezo 10 Muhimu, Ujio Sultan wa Zanzibar, apewe Ving'ora, Kasri, atangaze Utalii,Mshindi wa Kweli Zanzibar 2025 Atangazwe To Heal Zanzibar!。kwasababu nime cross check na Msemaji wa SMZ, Charles Hillary, wao hawana taarifa za ugeni huu, labda kama anakuja Zanzibar on a private visit kama mtalii tuu, then hahitaji kutoa taarifa popote bali kugongewa tuu visa na kuingia Zanzibar。
P
Bara atakanyaga Dar maana Pwani yote ilikuwa yake!Asikanyage bara
Kumbe origin hasa ya masultan hapo kisiwani ni wapi?Wazanzibari hawajawahi kuwa Watumwa, fact nyengine ambayo hujui, Watumwa walitoka nje ya Znz.
Mumpe usultani tu haina shida mbadilishe mpaka Katiba Samia aripoti kwake.kwa kosa gani? kwanza April 25, tunamrudishia u sultani wake.
Yadumu mapinduzi matakatifu ya 1964View attachment 3186808
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.
Cc Pascal Mayalla
Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.
Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.
Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.
Na nchi ikaendeshwa na kafiri nani? Mboma Okello tu ndo umemtaja kama Kafiri?unyama upi? nyie na kafiri okello ndo mlimvamia kijambazi
Thus why leo anarudi kwao hakupinduliwa na wa znz ni nyerereHakupinduliwa na wazanzibar
Uzuri Majeshi Huwa hayana siasa!Kwa msiojua, Zanzibar ndiyo ilikuwa makao makuu ya Sultani wa Omani na Zanzibar, Jamshid bin Abdullah Al Busaidi kabla ya kutimuliwa na Field Marshal wa Zanzibar na Pemba, John Okelo.
Aliapa kurudi hata ikichukua miaka mia na kweli sasa, baada ya miaka 60, anarudi...karibu sana Ex-Sultani wa Omani na Zanzibar.
OmanKumbe origin hasa ya masultan hapo kisiwani ni wapi?
Samahani nisaidie elimu ktk hili.
Mimi ni mkristo siwezi tetea maovu ya wazungu kwa sababu tu walileta ukristo wazungu pamoja na warabu walifanya biashara ya utumwa hata utumie lugha ipi huwezi badilisha huu ukweliWareno walikuja ukanda wa Pwani wakawa wanaua watu na kupora Mali, pwani yote hii ilikua haikaliki, hao unaosema wametesa watu ndio ambao waliwatoa wakishirikiana na makabila ya pwani.
Makabila yote unayoona makubwa nchi hii kama Wachaga, Wahaya etc mengi yamekuwa hivi sababu ya Sultan, yeye ndio kawatoa toa makabila madogo kuwa makubwa kwa kushirikiana nao. Soma Historia ya wachaga na Sultan ambayo hufundishwi shule.
Sultan hakuna na umero wa Kuteka maeneo ama kujimilikisha utawala Wa Nchi ile ilikua ni trading empire ambayo iliyafanya makabila ya Tanzania kuendelea kushikilia madaraka yao huku wakifanya biashara na yeye, ndio maana ukiangalia utajiri wa kipindi hicho cha Kilwa ama Zanzibar na sasa ni mbingu na Ardhi.
Mmmh ngoja waje wakujibuKwa Tulipofikia zanzibar tuiache tu , nyerere alitukosea sana watanganyika sijui huu muungano aliutaka wa nini yani ametuachia shida tu na hawa wapumbavu wake(vichwa flat/wazenji)
So Zanzibar ya leo wakazi wa mwanzo kabisa walikuwa ni waoman au kuna namna walifanya wakaonekana wao zaidi wakahodhi madaraka?Oman