Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Ujio wa Sultan Zanzibar uende sambamba na kufutwa neno MAPINDUZI kwenye utambulisho wa serikali ya Zanzibar, badala yake ibakia kutamkwa tu Serikali ya Zanzibar.
Kama tumeamua kuwa na mshikamano basi tuonyeshe kwa vitendo.
Wewe mwenyewe ni ASP, achana na vitu vidogo vidogo.
 
Ngoja tutulie, panapofuka moshi panaficha moto
 
Kwa Tulipofikia zanzibar tuiache tu , nyerere alitukosea sana watanganyika sijui huu muungano aliutaka wa nini yani ametuachia shida tu na hawa wapumbavu wake(vichwa flat/wazenji)
 
Yadumu mapinduzi matakatifu ya 1964
 
Uzuri Majeshi Huwa hayana siasa!

Tuendelee kuyachokoza!
 
Mimi ni mkristo siwezi tetea maovu ya wazungu kwa sababu tu walileta ukristo wazungu pamoja na warabu walifanya biashara ya utumwa hata utumie lugha ipi huwezi badilisha huu ukweli

Njoo kwa waislamu wanatetea kile alichofanya mwarabu hata kama ni kibaya vipi sababu tu aliwaletea dini waislamu akili zenu zimefungwa

Utawala wa sultan umetesa wafrika sana yaani huyo sultan kwa nchi wanaojielewa anatakiwa akitua tu uwanjani aelekee ukonga familia yake imetesa watu sana

Zanzibar haikuwa trading port bali sehemu ya mateso kwa waafrika ashukuriwe sana john okelo kwa kazi nzuri aliyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…