Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

Huu unaitwa uongo mtakatifu
 
Nafahamu mko hapa kupima upepo, ila katika jambo ambalo SAMIA asijethubutu hata kulizungumzia ni hili. Siku anafanya hivi ndiyo itakuwa mwisho wake. Kubwa zaidi Jamshid atakuwa ni MPUMBAVU asiyejifunza endapo atalazimisha kufika Zanzibar.
sultan ana kosa gani? je alishawahi kupigwa marufuku kukanyaga zanziber? ana jinai aliyoikimbia kwamba akifika atatiwa korokoroni? amekuwa akiishi nje ya nchi kama mkimbizi na uraia wake wa zanziber bado anao, ni sawa na lisu lema wenje walivyokuwa wakiishi uhamishoni walivyokumbuka nyumbani walirudi kama raia wa kawaida na viongozi wa taasisi zao

kwanza, we hanithi kweli kwahiyo utamfanya nini mama? uliambiwa ni sheha wa mtaa? tena ukome
 
Huyo mfalme sio kaja kutembea tu,huwezi jua yaliyo nyuma ya pazia.
Labda kuna makubaliano ya aina fulani ikiwa atarudi Zenj.
Na siyo ishara nzuri kwa baraza la mapinduzi.Mwenye nchi anakuja.
kweli bado mnamhofia mtu mwenye miaka 90 kweli?
 
Karume wa Malawi naye sio mzanzbari, so mapinduzi ni tale ya wageni waliokuwa wanawapangia Znz nini cha kufanya
 
Nimethibitisha this is fake news!.
Jibu la Familia
Hii ni jawabu la famila yake👇🏼

The article reflects fantasy and fiction and readers should be warned of its fake news content.

The former Sultan has absolutely no desire to return to Zanzibar where memories still linger of the atrocities committed by the murderous indigeneous mobs and outsiders.

To date the revolutionary government hasn't apologised to the families whom lost their loved ones on 12 January 1964. Instead the genocidal events are lavishly celebrated annually by the government of the Island of Zanzibar.

Justice will be served on Resurection Day and the perpetrators will receive their long overdue punishment for their role in the crimes against humanity.
P.
 
imagine kuna jitu linasherehekea na kukaribisha kutawaliwa

nyie kuna miafrika ni laana juu ya uso wa dunia
 

Karume alipewa uongozi kwa influence ya Nyerere, Bila ya hivyo asingeupata kabisa
 
Lengo la kumrudisha Sultani ni nini? Yuko hai hadi leo hii kumbe? Akifika tu Zanzibar si wamkamate, sidhani kama watu wa Zanzibar watapendezwa na ujio wake hata kidogo, sbb wanajua madhila walioyopata sababu ya utawala wa Sultan..!! Ngoja tuone.

Mkuu unaijua Zanzibar kweli? mapenzi yao kwa huyo SUltan ni makubwa sana na zaidi wakiyafikiria miaka 60 ya utawala wa CCM wanazidi kuvurugwa
 

hii story umetoa wapi mkuu?
 
Hii ni fake news!. Story ya Kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News!. JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale Kuniwezesha Kuupata Ukweli.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…