Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hilo ni kweli tupuukiwaambia wachague utawala wa Sultan na huu wa sasa hawataki wa sasa, uchaguzi kila mwaka unaonesha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni kweli tupuukiwaambia wachague utawala wa Sultan na huu wa sasa hawataki wa sasa, uchaguzi kila mwaka unaonesha.
alivamiwa kijambazi na haramia okello wakisaidiwa na makuli wa bandariniAlikimbia nini kama alikuwa mtu mwema
Huyu anapaswa akitia tu mguu, atafutiwe chumba cha kudumu pale Segerea.kwakweli apewe hadhi ya usultan wa kimila kama alivyo mfalme kabaka mutesa wa uganda, hii pia italeta mahusiano mema na nchi za Gulf ambazo ni washirika wazuri wamaendeleo
Naam,Karume ana bahati sana. Mapinduzi wafanye wengine uraisi akapewa yeye. Wakati hakushiriki kwenye mapinduzi hata kidogo.
Kuna ukweli wa hili?Pia masultan wa Znz wengi wa miaka 100 iliopita ni weusi kushinda hata wewe.
Hata nyerere angekuwepo ingependezaKwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
Mapinduzi yalikua ya mabeberu wakitumia vibaraka waoKumbe bado anaishi!!! Ana miaka mingapi kwa sasa? Alipokuwa akiitawala zanzibar alikuwa na miaka mingapi?
Waliomtoa yeye madarakani vijana wa Umma Party wengi wa viongozi wake walishatangulia mbele za haki.
Karume ana bahati sana. Mapinduzi wafanye wengine uraisi akapewa yeye. Wakati hakushiriki kwenye mapinduzi hata kidogo.
Hii mifumo ya kimaisha na shule zenu inalemaza sana watu akili.Kwenye hiyo ziara, na John Okello naye alitakiwa kualikwa. Ni vile tu Idd Amini Dada alimtanguliza mbele ya haki.
Waliuawa watu 13 elfu,wakiwemo watoto na vikongwe, walikua na ubaya gani?Alikimbia nini kama alikuwa mtu mwema
Hapa unazungumzia Tito au John Okello?Hii mifumo ya kimaisha na shule zenu inalemaza sana watu akili.
Just imagine, Okello ametoka huko Kijijini kwao, tena miaka hiyo, akaenda Kampala, akajifunza mambo kadhaa, akaamua kwenda Zanzibar akiwa na miaka 25 au 26 akaenda kuwasaidia kupambana na Sultan hadi kumuondoa. Akakabidhi madaraka kwa raia wa pale, then akafukuzwa.
Leo kijana gani katika umri huo anaweza akafanya hayo.
Ila Iddi Amin alikuwa mtu mzuri sema makosa yake yalikuwa ni 'deadly/grave'. Okello alitengwa na akateseka sana nchini Uganda kiasi cha kukosa hata hela ya kula, akalazimika kurudi kijijini. Iddi Amin alipoingia alimfuata Okello na kumuahidi uwaziri ili waiongoze Uganda, lakini Okello akachomoa, Iddi Amin hakukata tamaa, akamuahidi umakamo wa rais, lakini Okelleo akachomoa, akabembelezwa sana, akakubali kwa masharti apewe urais, Iddi Ammin ndiye awe Makamo...hapo ndiyo story ilipoanzia na kuishia
Hujui kwa nini Wazanzibari walimpindua katika mapinduzi ya damu??Alipe fidia ya nini?
Hakupinduliwa na wazanzibarHujui kwa nini Wazanzibari walimpindua katika mapinduzi ya damu??
kwa kosa gani? kwanza April 25, tunamrudishia u sultani wake.Huyu anapaswa akitia tu mguu, atafutiwe chumba cha kudumu pale Segerea.
Reign yake ni 1963 july hadi 1964 January nielimishe baya alilofanya mpaka kutakiwa kulipa fidia.Hujui kwa nini Wazanzibari walimpindua katika mapinduzi ya damu??
Alipinduliwa na kina nani??Hakupinduliwa na wazanzibar
Atapewa na zaidi ya hivyo, ni mjomba yule, tushauri apewe pwani yote ya tanganyika aitawale ili airudishie ile hadhi yake ya kuwa ngome ya uislam,kuna mengi yanakuja, tumpeni mama mitano mingine, hatatuangusha.apewe pia hadhi ya Rais mstaafu ikiwemo gari nyumba na ulinzi, pia arudishiwe mali zake