ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Labda iwe hoja binafsi ijadiliwe kuhusu mafao yake 😳 !apewe pia hadhi ya Rais mstaafu ikiwemo gari nyumba na ulinzi, pia arudishiwe mali zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda iwe hoja binafsi ijadiliwe kuhusu mafao yake 😳 !apewe pia hadhi ya Rais mstaafu ikiwemo gari nyumba na ulinzi, pia arudishiwe mali zake
Mkuu hao ndio wadhali wakuu wa chaudere kwenye uchaguzi ujao, haya mabaiskeli na mapikipiki nchi zima wanatoa wao, so lazima maliasili za cnhi hii wapewe kama kurudisha fadhila ili wazitafune watakavyo.Wachambawima wanatamani kurudi kwenye utawala wa sultan hata leo 😀 alafu hicho kizee si ndio mjomba wake na bibi chaudere au niaje kama ndie basi tumekwisha hifadhi zetu 🙆😀
Duh 🙄😳 !
Mkuu hao ndio wafadhali wakuu wa chaudere kwenye uchaguzi ujao, haya mabaiskeli na mapikipiki nchi zima wanatoa wao, so lazima mali asili za nchi hii wapewe kama kurudisha fadhila ili wazitafune watakavyo.Wachambawima wanatamani kurudi kwenye utawala wa sultan hata leo 😀 alafu hicho kizee si ndio mjomba wake na bibi chaudere au niaje kama ndie basi tumekwisha hifadhi zetu 🙆😀
Waislamu likija swala la mwisalumu mwenzio hasa mwarabu mnakua kama matahira na kujitoa ufahamuWaingereza ni part ya nchi hii? Usijishtukie wala siwaongelei hao maana Najua ukiwa taja tu wanaku trigger, naongelea Empire za Ki Africa, nani msafi haja fanya hio biashara?
Zamani hakukua na jela mkipigana vita anaepigwa ujue wanawake na jeshi Wanauzwa utumwani, machifu wote walikua na Watumwa.
Mpeni Urais sasaKwa msiojua, Zanzibar ndiyo ilikuwa makao makuu ya Sultani wa Omani na Zanzibar, Jamshid bin Abdullah Al Busaidi kabla ya kutimuliwa na Field Marshal wa Zanzibar na Pemba, John Okelo.
Aliapa kurudi hata ikichukua miaka mia na sasa baada ya miaka 60 anarudi...karibu sana Ex-Sultani wa Omani na Zanzibar.
Wamjengee na sanamu sasaMpeni Urais sasa
Ubaguzi huo 🙄!Saa100 naye ni wale wale,amekuja Kwa sura nyingine
Hapo anazungumziwa John.Hapa unazungumzia Tito au John Okello?
Alafu akapitia kizimkazi kwenda kuchukua uongozi zanzibarNaam,
Wakati mapinduzi yakitekelezwa chini ya uongozi shupavu wa JOHN GIDEON OKELLO, Karume na mwenzie Hanga walikuwa wamejificha Dar es Salaam, Tanganyika
Naam,
Wakati mapinduzi yakitekelezwa chini ya uongozi shupavu wa JOHN GIDEON OKELLO, Karume na mwenzie Hanga walikuwa wamejificha Dar es Salaam, Tanganyika
Huyo hakuwa Rais, alikuwa ni Sultani (mfalme), ni zaidi ya Rais.apewe pia hadhi ya Rais mstaafu ikiwemo gari nyumba na ulinzi, pia arudishiwe mali zake
Wareno walikuja ukanda wa Pwani wakawa wanaua watu na kupora Mali, pwani yote hii ilikua haikaliki, hao unaosema wametesa watu ndio ambao waliwatoa wakishirikiana na makabila ya pwani.Waislamu likija swala la mwisalumu mwenzio hasa mwarabu mnakua kama matahira na kujitoa ufahamu
Utawala wa sultan umetesa sana waafrika ambao walikua waislamu
Ndio ujue kuwa yalikuwa mapinduzi haramu. Kuna watu walitumwa waje wawauwe wazanzibari tu. Sio kwa sababu za uhuru bali kwa sababu za chuki tu kwa wazanzibari na waislamu.Kumbe bado anaishi!!! Ana miaka mingapi kwa sasa? Alipokuwa akiitawala zanzibar alikuwa na miaka mingapi?
Waliomtoa yeye madarakani vijana wa Umma Party wengi wa viongozi wake walishatangulia mbele za haki.
Karume ana bahati sana. Mapinduzi wafanye wengine uraisi akapewa yeye. Wakati hakushiriki kwenye mapinduzi hata kidogo.
Asikanyage bara
Madhila gani?Lengo la kumrudisha Sultani ni nini? Yuko hai hadi leo hii kumbe? Akifika tu Zanzibar si wamkamate, sidhani kama watu wa Zanzibar watapendezwa na ujio wake hata kidogo, sbb wanajua madhila walioyopata sababu ya utawala wa Sultan..!! Ngoja tuone.