gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Watu wa bara, wakiwemo wakata mkonge wa tangaAlipinduliwa na kina nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa bara, wakiwemo wakata mkonge wa tangaAlipinduliwa na kina nani??
Atalipia kwa niaba ya aliowarithi kwa utawala wa kitumwa na kwa hiko kipindi cha nusu mwaka alichotawala.Reign yake ni 1963 july hadi 1964 January nielimishe baya alilofanya mpaka kutakiwa kulipa fidia.
Walimwondoa kwa nguvu, yanahitajika maridhiano kurejesha umoja wa kitaifa na mahusiano na Oman. Lakini nafikiri kuna shinikizo la Oman hapo. Ila ni jambo la kihistoria sana.View attachment 3186808
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.
Cc Pascal Mayalla
Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.
Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.
Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.
Mwarabu ni huyo aliekuja miaka Mia kadhaa iliopita, akaoa mbantu, mwanae nae aoe mbantu, mjukuu aoe mbantu etc, baada ya miaka zaidi ya 100 unategemea upate nini?Kuna ukweli wa hili?
Nani haja fanya Biashara ya utumwa nchi hii na nani kalipa?Atalipia kwa niaba ya aliowarithi kwa utawala wa kitumwa na kwa hiko kipindi cha nusu mwaka alichotawala.
Haichekeshi.Kwenye mapokezi Sultan Mbowe, Sultan Lipumba na Sultan Cheyo wawepo 😂
Waingereza wameshatupa misaada ya mabilioni na scholarships, hiyo ni sehemu ya malipo ya madhambi yao.Nani haja fanya Biashara ya utumwa nchi hii na nani kalipa?
Ni sawa tu....View attachment 3186808
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.
Cc Pascal Mayalla
Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.
Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.
Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.
Waingereza ni part ya nchi hii? Usijishtukie wala siwaongelei hao maana Najua ukiwa taja tu wanaku trigger, naongelea Empire za Ki Africa, nani msafi haja fanya hio biashara?Waingereza wameshatupa misaada ya mabilioni na scholarships, hiyo ni sehemu ya malipo ya madhambi yao.
Sultan naye alipie.
Ni akina nani ndio waliohusika na yale Mapinduzi ??!Kumbe bado anaishi!!! Ana miaka mingapi kwa sasa? Alipokuwa akiitawala zanzibar alikuwa na miaka mingapi?
Waliomtoa yeye madarakani vijana wa Umma Party wengi wa viongozi wake walishatangulia mbele za haki.
Karume ana bahati sana. Mapinduzi wafanye wengine uraisi akapewa yeye. Wakati hakushiriki kwenye mapinduzi hata kidogo.
Ndivyo Siasa zilivyo !Ni sawa tu....
Mapinduzi yanafanywa yeye yupo dar na nyerere wanakunywa kajawKumbe bado anaishi!!! Ana miaka mingapi kwa sasa? Alipokuwa akiitawala zanzibar alikuwa na miaka mingapi?
Waliomtoa yeye madarakani vijana wa Umma Party wengi wa viongozi wake walishatangulia mbele za haki.
Karume ana bahati sana. Mapinduzi wafanye wengine uraisi akapewa yeye. Wakati hakushiriki kwenye mapinduzi hata kidogo.
Tunamtaka Richard Turnbull Tanganyika ili tusameheane naye pia😒View attachment 3186808
Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa kwake madarakani wakati wa mapinduzi ya 1964.
Cc Pascal Mayalla
Maelezo kuhusu jinsi ziara hii ilivyopangwa bado hayajafahamika, lakini umuhimu wake hauwezi kupuuzwa. Kurudi kwa Sultan Jamshid kunawakilisha ishara ya upatanisho wa kipekee kutoka kwa serikali ya Zanzibar. Ziara yake inaweza kuwa daraja kati ya enzi za kabla na baada ya mapinduzi, ikichochea mshikamano na uponyaji wa kitaifa.
Zanzibar inaweza kuchukua nafasi hii kumwalika Sultan kuishi katika mojawapo ya majumba yake ya zamani kama raia wa kawaida. Hatua kama hiyo haitaimarisha tu taswira ya Zanzibar kimataifa bali pia inaweza kuinua sekta yake ya utalii, kwani uwepo wake utavutia shauku kubwa. Zaidi ya hayo, inaweza kuashiria sura mpya ya upatanisho kati ya Sultan na serikali ya mapinduzi, ikitoa mfano wa maendeleo na mshikamano.
Dunia inaposhuhudia tukio hili la kihistoria, Zanzibar inasimama katika nafasi ya kubadilisha urithi wake kuwa simulizi ya mshikamano na heshima ya pande zote.
Issa AlHarthy.
Ni John.Hapa unazungumzia Tito au John Okello?
Hatuwezi kushitakiana kikabila( it's impractical).Waingereza ni part ya nchi hii? Usijishtukie wala siwaongelei hao maana Najua ukiwa taja tu wanaku trigger, naongelea Empire za Ki Africa, nani msafi haja fanya hio biashara?
Zamani hakukua na jela mkipigana vita anaepigwa ujue wanawake na jeshi Wanauzwa utumwani, machifu wote walikua na Watumwa.
Mamluki wa Tanganyika kutoka Kipumbwi na Sakura kwa mujibu wa wenye Zenji yao.Ni akina nani ndio waliohusika na yale Mapinduzi ??!