Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

Zanzibar kuna fursa nyingi ila umaskini umetamalaki

Yaan pamoja na mabilioni yote yanayotumwa huko kila mwezi bado watu ni maskini? nasikia wakikopa serikali ndiyo ulipia riba, mafuta ya petrol nk bei chini kama nchi za ghuba, sukari utafikiri uko cuba au Brazil, kama bado ni masikini sana basi hawa jamaa ni wavivu sana.
Wazazibar wanakiwanda chao cha sukari
 
Kuuza urijali wao sio umaskini ndio moja ya fursa hizo za utalii na kwa taarifa yako wanaoenda kufanya umalaya Zanzibar wala sio Wazanzibar ni Wabara na mataifa mengine ya Kiafrika.

Hakuna vijana wanaoongoza kwa kugeuzwa na hao Watalii kama Wamasai na Vijana wengine wa Arusha wanaojifanya mabeach boy, low season ndio utawaonea huruma.
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hiv Zanzibar PKP TVs 150cc mpyaa inauzwa 1.2M wakat TZ ni 3M had 3.7M

Hi difference inatokan na nn asee
 
Back
Top Bottom