Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Za matajiri hizo..tunataka za elfu 10 hadi 25..hizo ndio za watanzania wanyonge...kama zipo nijuze mana nasafari ya zenji mwisho wa mwaka.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ya mudi umewabrainwash wapo kama mazezeta na misukule..wanamuona mzungu kama Mungu..ila mwafrika mwenzao wanamtenga..si upuuzi huu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
 
Nenda kwenye 5 star hotels pande za shamba(Nungwi, Kiwengwa, Matemwe) au nenda kusini (Jambiani, Paje, Kizimkazi nk upate ladha ya Zanzibar.
Huko ni kwa wazungu ila kwingine ni hovyo tu wavivu kupambana leo dar inabadilika kila leo sio zenji kupo vile vile zaidi ya hotel za wazungu tu
 
Hivi unajua kama kwenye boti kuna business class, VIP na Royal Class? Siyo kila anaepanda hulipa 25,000. Hata akina Mzee Mwinyi na waheshimiwa wengi hupanda boti, unadhani wanapanda kwenye daraja hilo?
 
Dini ya mudi umewabrainwash wapo kama mazezeta na misukule..wanamuona mzungu kama Mungu..ila mwafrika mwenzao wanamtenga..si upuuzi huu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzungu ametokea wapi tena? Halafu mzungu aliyewafanya mazezeta ni nyinyi munaowachangia hao viongozi wenu kwa nguvu zote, wao wakawa na majumba mazuri na magari ya kifahari nyinyi mukabaki kulalamika.
 
Mkuu Sasa mazizini Kuna uzuri gani ?

Tembeeni muone miji
 
Unguja Hakuna wanawake kabisa.

Waliopo sura Kama za baba zao. Huwa nikienda unguja najiona Kama Niko msituni kila mwanamke anafanana sura na mimi
 
Mkuu Sasa mazizini Kuna uzuri gani ?

Tembeeni muone miji
Hivi unaifahamu mazizini au umepita barabarani tu? Hebu anzia pale kibaha baada ya kumaliza kambi ya jeshi kulia kuna barabara inapita nyuma ya ubalozi mdogo wa China kuelekea beach kisha rudi hapa!
 
Sasa ulitaka Dar yenye wakazi zaidi ya Milion 8 iwe na misikiti sawa na kijieneo chenye watu milion 2
 
Hivi unaifahamu mazizini au umepita barabarani tu? Hebu anzia pale kibaha baada ya kumaliza kambi ya jeshi kulia kuna barabara inapita nyuma ya ubalozi mdogo wa China kuelekea beach kisha rudi hapa!
Naijua unguja zaidi ya uijuavyo.

Wakati wewe unaijua kwasababu umezaliwa wenzako tunaijua KIMAKARATASI.
 
Sasa ulitaka Dar yenye wakazi zaidi ya Milion 8 iwe na misikiti sawa na kijieneo chenye watu milion 2
Ndiyo maana nikakwambia naijua Zanzibar kwa muda mrefu.
HAIBADILIKI.
 
Unguja Hakuna wanawake kabisa.

Waliopo sura Kama za baba zao. Huwa nikienda unguja najiona Kama Niko msituni kila mwanamke anafanana sura na mimi
Ndio maana kila siku tunawaambia mmejawa na uzinzi tu! Kweli hakuna wanawake bali kuna wanawake wanaojistahi sio sawa na bara mlikozoea mtu anatoka Sinza hadi Chanika mkuyenge unasimama njia nzima hadi anafika nyumbani! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
Naijua unguja zaidi ya uijuavyo.

Wakati wewe unaijua kwasababu umezaliwa wenzako tunaijua KIMAKARATASI.
Wakati wewe ukiendelea kuijua kimakaratasi wenzako tunaijua kiuwezo pia.
 
Huyo mzungu ametokea wapi tena? Halafu mzungu aliyewafanya mazezeta ni nyinyi munaowachangia hao viongozi wenu kwa nguvu zote, wao wakawa na majumba mazuri na magari ya kifahari nyinyi mukabaki kulalamika.
Usikimbie hoja jibu hoja..kama ilivyokuja..mbona mnatesa na kutenga waswahili wenzenu ila wazungu mnawanyenyekea na kuwapa huduma ya chakula kipindi cha mfungo?

Dini..umaskini na ujinga ni tatizo kubwa sana kwa waafrika hasa jamii kama zenu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…