Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

Mimi nilienda huko nikapanda daladala namcheck konda eti kapaka uwanja aah..sikumweka nikamuuliza ...eti ananiambia ni sunah hiyo ...eeh nikabaki nashanga hawa watu wanaishi maisha ya Karne gani sijui .
Lakini hukushangaa makondakta wanaovaa hereni huko gongo la mboto??
 
Thats the beauty of Zanzibar
 
Na kuna watu wanatoka Tanzania bara na kuja Zanzibar kupatiwa matibabu tu hapo Mnazi mmoja hospital
 
Umefika chamba wima? nasikia pako doro sana.

Tembelea na kiembe ladu,
Mfereji maringo..
Kiembe samaki.
 
Japokuwa sijawahi kufika Zanzibar ila pia sijawahi kabisa kuvutiwa na hicho kisiwa, Yani ni pa hovyo mno .. wamepita Marais wengi lakini hakuna kinachobadilika ..
Hujawahi kufika ila umejua ni pa hovyo? unapiga ramli mkuu
 

Shida kubwa inayokusumbua huna peda na umefkia sehem za hovyo na unalala pa hovyo na huezi tembea sehem za mana sabbu huna pesa tafuta tax driver wako akutembeze unakotaka na forodhan kale mule kwenye jengo la fish market kalale serena hotel tembo park Hyatt na Kama unataka miji iliopangika mwmbie akuplke huna pesa halafu unalia Lia tafuta pesa uende sehemu za kula bata unalolitaka Zanzibar ni mji wa kitalii huezi pata kila kitu kwa bei rahic kuhusu barabara ni kweli za mjini karbu zote ni za tangu enzi za karume ila zipo sehem zenye road mpya na pana Kama unazunguka stone town tu huo ni mji wa kitalii na hauruhusiwi kujengwa vyengne tafuta pesa mzee[emoji3526]
 

Migahawa Zanzibar sio mengi kwasabbu asilimia kubwa ya wazawa wanapika chakula nyumban sabbu ya familia kuwa kubwa wanunuaji sio wengi sana na mama ntilie wachache sana ucku sana watu ndio wanannua chakula kama tu chakula cha mchana kimemlza ndio panannuliwa cha rahic kama mikate chips sehem za mjini za kula kubwa nenda kwa lukman kwa bavuwai Kuna Hadi ugali mnaoupenda vingi mno unachagua nini unapenda ila bill yake sio chini ya elf8
 

Hii ndiyo hoja uliyoleta ambayo umeunganisha dini na uzungu, vitu viwili ambavyo havina uhusiano:

"Dini ya mudi umewabrainwash wapo kama mazezeta na misukule..wanamuona mzungu kama Mungu..ila mwafrika mwenzao wanamtenga..si upuuzi huu".

inferiority complex ndiyo inakusumbua wewe.
 
Wallahi...

Ni bora kwenda kula pale jirani katika capetown fish market kuliko kula forodhani

Nakuunga mkono kuhusu Forodhani, hapafai, Nilishamshuhidia mzungu akibirukwa na tumbo baada kuonja msosi mbovu.
 
Masikini roho yakooooo! Hivi umetokea mikoani huko (tunaita madongo poromoka) umefika Dar ndiyo unajiona uko more civilized than Zanzibaris?

Penye ukweli lazima tuzungumze, Tatizo kubwa la wazanzibari ni Uncivilized, na kubwa Zaidi ni watu ambao ni wagumu sana kubadilika.
Ni kweli mtu anaweza toka mikowani akaja Dar akiwa kiza kabisa lakini with time anabadilika kidogo kidogo, ILa wazanzibar ni shida kwa kweli, unaweza kumkuta Mmkunduchi anaishi Unguja Mjini Zaidi ya miaka 20 ila bado utafikiri bado yupo Makunduchi lifestyle yake.
 
Dah[emoji28]
 
Kuna sehemu inaitwa Bububu...kweli hapo nikwa mabubu

It's like hell[emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…