Zanzibar 2020 Zanzibar: Majimbo manne ya uchaguzi yafutwa na kubakiza Majimbo 50

Zanzibar 2020 Zanzibar: Majimbo manne ya uchaguzi yafutwa na kubakiza Majimbo 50

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.

Pia soma:

Zanzibar: ACT Wazalendo wapinga Upunguzaji wa Majimbo kutoka 54 hadi 50, Wadai ni njama za CCM

1593686262957.png

1593686403017.png

1593686425499.png

1593686454174.png

1593686532742.png

1593686552234.png

1593686694510.png


MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
Mkoa wa Kaskazini Unguja (Majimbo Manane)


Wilaya ya Kaskazini A (Majimbo 5)​
JIMBO​
SHEHIA​
CHAANI​
1Kikobweni
2Kinyasini
3Kandwi
4Pwani Mchangani
5Bandamaji
6Chaani Masingini
7Mchenza Shauri
8Chaani Kubwa
KIJINI​
1Potoa
2Kijini Matemwe
3Kigomani
4Mbuyu Tende
5Juga Kuu
6Kigongoni
7Kivunge
8Muwange
9Pita na zako
MKWAJUNI​
1Kibeni
2Mkwajuni
3Kidombo
4Moga
5Chutama
6Matemwe Kusini
7Matemwe Kaskazini
8Gamba
TUMBATU​
1Mkokotoni
2Mtowapwani
3Pale
4Mchangani
5Kipange
6Muwanda
7Gomani
8Jongowe
9Mtakuja
10Uvivini
NUNGWI​
1Bandakuu
2Kiungani
3Kilindi
4Fukuchani
5Kidoti
6Tazari
7Kigunda
8Kilimani Tazari
9Bwereu
Wilaya ya Kaskazini B (Majimbo 3)​
JIMBO​
SHEHIA​
DONGE​
1​
Donge Mtambile
2​
Donge Karange
3​
Donge Vijibweni
4​
Majenzi
5​
Njia ya Mtoni
6​
Mnyimbi
7​
Donge Mbiji
8​
Mkataleni
9​
Donge Pwani
MAHONDA​
1​
Kisongoni
2​
Upenja
3​
Kiwengwa
4​
Pangeni
5​
Mgambo
6​
Kilombero
7​
Mbaleni
8​
Kwagube
9​
Kitope
10Mahonda
11Kinduni
12Matetema
BUMBWINI​
1​
Misufini
2​
Kidanzini
3​
Makoba
4​
Mafufuni
5​
Kiongwe Kidogo
6​
Mangapwani
7​
Fujoni
8​
Kiombamvua
9​
Mkadini
10Zingwezingwe
Mkoa wa Kusini Unguja (Majimbo Matano)


Wilaya ya Kati (Majimbo 3)​
JIMBO​
SHEHIA​
CHWAKA​
1Muembepunda
2Cheju
3Charawe
4Ukongoroni
5Mseweni
6Zuwiyani
7Pete
8Jendele
9Chwaka
10Marumbi
11Uroa
12Pongwe
UZINI​
1Kiboje Mwembeshauri
2Kiboje Mkwajuni
3Ghana
4Mgenihaji
5Uzini
6Mitakawani
7Tunduni
8Bambi
9Pagali
10Umbuji
11Mchangani Shamba
12Mpapa
13Kijibwemtu
14Kidimni
15Machui
16Miwani
17Koani
TUNGUU​
1Dunga Bweni
2Ubago
3Dunga Kiembeni
4Jumbi
5Tunguu
6Binguni
7Bungi
8Unguja Ukuu Kaepwani
9Kikungwi
10Uzi
11Uzi Ng'ambwa
12Unguja Ukuu Kaebona
Wilaya ya Kusini (Majimbo 2)​
JIMBO​
SHEHIA​
MAKUNDUCHI​
1​
Nganani
2​
Kijini
3​
Mzuri
4​
Kajengwa
5​
Kiongoni
6​
Tasani
7​
Mtende
8​
Kibuteni
9​
Kizimkazi Dimbani
10Kizimkazi Mkunguni
11Muyuni A
12Muyuni B
13Muyuni C
PAJE​
1​
Michamvi
2​
Paje
3​
Bwejuu
4​
Dongwe
5​
Jambiani Kikadini
6​
Muungoni
7​
Jambiani Kibigija
8​
Kitogani
Mkoa wa Mjini Magharibi (Majimbo Kumi na Tisa)


Wilaya ya Magharibi A (Majimbo 5)​
MTONI​
1Mwanyanya
2Kibweni
3Kwagoa
4Mtoni
5Sharifumsa
BUBUBU​
1Bububu
2Kijichi
3Mbuzini
4Dole
5Kizimbani
6Chemchem
MFENESINI​
1Chuini
2Kihinani
3Kikaangoni
4Kama
5Mfenesini
6Mwakaje
7Bumbwisudi
WELEZO​
1Mtopepo
2Munduli
3Welezo
4Uholanzi
5Mtofaani
6Michikichini
7Hawaii
MWERA​
1Mwera
2Muembemchomeke
3Kianga
4Masingini
5Mtoni Kidatu
6Mtoni Chemchem
Wilaya ya Magharibi B (Majimbo 5)​
DIMANI​
1​
Nyamanzi
2​
Fumba
3​
Bweleo
4​
Dimani
5​
Kombeni
6​
Tomondo
7​
Maungani
8​
Kisauni
FUONI​
1​
Fuoni Kipungani
2​
Fuoni Migombani
3​
Mambosasa
4​
Chunga
5​
Kibondeni
6​
Uwandani
KIEMBESAMAKI​
1​
Kiembesamaki
2​
Mbweni
3​
Mombasa
4​
Kwamchina
5​
Michungwani
6​
Shakani
7​
Chukwani
MWANAKWEREKWE
1​
Magogoni
2​
Jitimai
3​
Sokoni
4​
Mwanakwerekwe
5​
Mikarafuuni
6​
Melinne
7​
Taveta
PANGAWE​
1​
Muembemajogoo
2​
Pangawe
3​
Mnarani
4​
Kinuni
5​
Kijitoupele
6​
Uzi
Mkoa wa Mjini (Majimbo Kumi na Tisa)

Wilaya ya Mjini (Majimbo 9)​
JIMBO​
SHEHIA​
KWAHANI​
1Kwaalamsha
2Mikunguni
3Kwahani
4Sebleni
5Muungano
AMANI​
1Amani
2Kwawazee
3Kilimahewa Juu
4Kilimahewa Bondeni
MAGOMENI1Magomeni
2Meya
3Nyerere
4Sogea
5Kwamtumwajeni
SHAURIMOYO1Kwamtipura
2Mkele
3Mapinduzi
4Mboriborini
5Shaurimoyo
6Saateni
MALINDI​
1Mlandege
2Gulioni
3Makadara
4Mwembetanga
5Mitiulaya
6Vikokotoni
7Shangani
8Mkunazini
9Kiponda
10Malindi
11Mchangani Mjini
KIKWAJUNI​
1Muembeladu
2Miembeni
3Muembeshauri
4Rahaleo
5Muembemadema
6Kikwajuni Juu
7Kikwajuni Bondeni
8Kisima Majongoo
9Kisiwandui
10Mnazimmoja
Wilaya ya Mjini​
JIMBO​
SHEHIA​
CHUMBUNI​
1​
Chumbuni
2​
Karakana
3​
Masumbani
4​
Muembemakumbi
5​
Maruhubi
6​
Banko
JANG'OMBE​
1​
Urusi
2​
Jang'ombe
3​
Kidongochekundu
4​
Matarumbeta
5​
Kwaalinato
MPENDAE​
1​
Kilimani
2​
Migombani
3​
Mpendae
4​
Kwabitihamrani
Mkoa wa Kaskazini Pemba (Majimbo Tisa)

Wilaya ya Micheweni (Majimbo 4)​
JIMBO​
SHEHIA​
MICHEWENI1Maziwa Ng'ombe
2Kiuyu Mbuyuni
3Shanake
4Micheweni
5Shumba Mjini
6Chamboni
7Majenzi
TUMBE​
1Tumbe Mashariki
2Mihogoni
3Tumbe Magharibi
4Kinowe
5Shumba Viamboni
6Chimba
WINGWI​
1Sizini
2Mjini Wingwi
3Wingwi Mapofu
4Wingwi Njuguni
5Mtemani
KONDE​
1Konde
2Kipange
3Kifundi
4Msuka Mashariki
5Makangale
6Tondooni
7Msuka Magharibi
Wilaya ya Wete (Majimbo 5)​
JIMBO​
SHEHIA​
MTAMBWE​
1​
Mtambwe Kaskazini
2​
Kisiwani
3​
Mtambwe Kusini
4​
Piki
5​
Limbani
PANDANI​
1​
Maziwani
2​
Mzambarao Takao
3​
Pandani
4​
Kiungoni
5​
Pembeni
6​
Mjananza
7​
Mlindo
8​
Shengejuu
GANDO​
1​
Fundo
2​
Gando
3​
Ukunjwi
4​
Junguni
5​
Kizimbani
6​
Mgogoni
7​
Finya
8​
Kinyasini
KOJANI​
1​
Mchanga Mdogo
2​
Kojani
3​
Chwale
4​
Kinyikani
5​
Mpambani
6​
Kambini
7​
Kangagani
8​
Kiuyu Minungwini
9​
Kiuyu Kigongoni
WETE​
1​
Kipangani
2​
Jadida
3​
Mtemani
4​
Selem
5​
Utaani
6​
Bopwe
Mkoa wa Kusini Pemba (Majimbo Tisa)

Wilaya ya Chake Chake (Majimbo 5)​
JIMBO​
SHEHIA​
CHAKE CHAKE1Chanjaani
2Shungi
3Madungu
4Tibirinzi
5Chachani
6Kichungwani
7Msingini
WAWI​
1Mvumoni
2Kibokoni
3Mgogoni
4Gombani
5Wawi
6Wara
7Mkoroshoni
ZIWANI​
1Ziwani
2Kwale
3Mbuzini
4Ndagoni
5Wesha
6Michungwani
CHONGA​
1Chonga
2Mgelema
3Kilindi
4Pujini
5Matale
6Mfikiwa
OLE​
1Ole
2Mjini Ole
3Mchangamrima
4Vitongoji
5Ng'ambwa
6Uwandani
Wilaya ya Mkoani (Majimbo 4)​
JIMBO​
SHEHIA​
MKOANI​
1​
Mkanyageni
2​
Chokocho
3​
Stahabu
4​
Makoongwe
5​
Shidi
6​
Michenzani
7​
Mbuyuni
8​
Makombeni
9​
Mbuguwani
10Uweleni
11Ng'ombeni
12Changaweni
MTAMBILE​
1​
Mkungu
2​
Kisiwa Panza
3​
Kukuu
4​
Kangani
5​
Chole
6​
Kengeja
7​
Minazini
8​
Mtambile
9​
Mizingani
10Mjimbini
KIWANI​
1​
Kendwa
2​
Kiwani
3​
Mtangani
4​
Shamiani
5​
Mwambe
6​
Jombwe
7​
Mchakwe
CHAMBANI​
1​
Chambani
2​
Dodo
3​
Ukutini
4​
Wambaa
5​
Ngwachani
6​
Chumbageni
7​
Mgagadu
 
Maalim seif akicheka na nyani atavuna mabua.
 
Mkakati huu, Maana Pemba ndo Kule chama fulani wanapata Kura nyingi za ushindi
 
Hujuma zimeshaanza!!!

Serikali yoyote inayofahamu haina ubavu wa kushinda kwenye fair election pamoja na mambo mengine lazima watumie gerrymandering!

Lakini wakumbuke kufuta majimbo hakupunguzi idadi ya watu wanaoweza kuindoa CCM Madarakani!!
 
Wewe kapuku faida gani umeipata baada ya uchafu huu ?
Kwa kuwa ni mazoea yenu kutukana basi mnadhani kila anayecomment humu ni mwana CCM sina chama wala si mwanasiasa.

Ila nawataadhalisha tu mpaka pale mtakapoacha kulialia nyuma ya keyboard maisha mtaani yataendelea kama kawaida na uchaguzi bila tume huru uko pale pale..
Adios
 
Tumeokoa mamilioni ya pesa kwa kufuta hayo majimbo.
 
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.
Zanzibar ilitakiwa kuwa na majimbo 10 tu!
 
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.


Mkuu usijali.

ZANZIBAR UPINZANI NI KAMA KASHATA, HAISHI UTAMU.

Mwaka 2015 ZEC kwa KUSHIRIKIANA NA CCM walifanya hadaa kama hizi na kuongeza majimbo kuwa 54 badala 50 YA AWALI.

Kilichowasukuma ni kukipendelea CCM na waligawa mipaka kwa mkakati wa kuwahujumu wapinzani. Walionywa kwamba wasifanye hadaa hawakusikia.

Wapinzani wakiongozwa na CUf wakati HUO, Waliita " KASHATA"

Naam matokeo yalipikuja Upinzani ulichukuwa hadi majimbo yaliyobasdilishwa na ambayo CCM waliamini watashinda.

Kweli ile Kashata haiishi utamu.

Na mwaka huu 2020. wameshatanabahishwa. MARA HII KASHATA IMEKOLEA SUKARI.


Mark my Words. KASHATA IMEKOLEA SUKARI. UTAMU UMEZIDI.
 
Tume ya uchaguzi ya Zanzibar imetangaza kufuta majimbo manne ya uchaguzi na hivyo kubaki majimbo 50 pekee, ambapo Unguja yatakuwa 32 huku Pemba yakibaki 18.

Haijafahamika kama Tume imejituma yenyewe kufanya jambo hilo au imetumwa ili kuwaokoa watu fulani na wala hakuna sababu zozote za maana zilizotolewa.
Tuwe wa kweli tu CCM haijawahi kushinda kwenye sanduku la kura Zanzibar, kila CUF inaposhinda majimbo mengi Unguja tume huyagawanya ili CCM iwe na upande wake, sanduku la kura huwa halitendewi haki.
 
Back
Top Bottom